Raia wengi wakimbia makazi yao baada ya magaidi kuteka nyara mabinti 13 katika jamii ya Borno, Nigeria
Wimbi la hofu limeikumba jamii ya Borno, na raia wengi wameanza kuondoka majumbani mwao leo Jumatatu, siku mbili baada ya ISWAP, tawi la kundi Boko Haram, kuwateka nyara mabinti 13…
FCC yatakiwa kudhibiti bidhaa feki
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameihimiza Tume ya Ushindani (FCC) kuongeza ufanisi katika kudhibiti bidhaa feki na kuimarisha utendaji ili kukidhi matarajio ya Watanzania. The post FCC yatakiwa…
Makubaliano mapya kuhusu bei ya chanjo ya malaria yaafikiwa
Muungano wa nchi zinazosaidia upatikanaji wa chanjo duniani kwa nchi masikini, Gavi, Pamoja na shirika la kuhudumia watoto UNICEF wamefikia makubaliano mapya kuhusu bei, ambapo yatashuhudia kupungua kwa gharama ya…
Peter Lwasa: Bado najitafuta, tulieni!
LICHA ya kuwa na mabao matatu katika akaunti ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa, amesema bado anaamini ana nafasi ya kuwa bora zaidi mbele ya lango…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameielekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kufungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na taasisi nyingine za kidini zilizokuwa zimefungwa, lakini…
KMC, Mtibwa Ligi Kuu Bara ngoja tuone!
NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia…
KMC, Mtibwa ngoja tuone!
NA leo tena! Ndivyo unavyoweza kusema wakati KMC iliyotoka kupasuka nyumbani katika mechi iliyopita mbele ya maafande wa JKT Tanzania, leo itashuka tena uwanjani kuvaana na Mtibwa Sugar iliyopoteza pia…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM imewaachia huru watuhumiwa 47 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktob…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM imewaachia huru watuhumiwa 47 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025, kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi. Uamuzi…
Cameroon : Kiongozi wa upinzani akimbilia usalama wake Gambia
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Tchiroma Bakary amekimbilia nchini Gambia baada ya uchaguzi uliopingwa. Imechapishwa: 24/11/2025 – 15:21Imehaririwa: 24/11/2025 – 16:12 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Kocha Fountain Gate awageukia maafande
BAADA ya Fountain Gate kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Pamba Jiji, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Laizer amesema haikuwa bahati yao huku akielekeza nguvu zake katika kuikabili Tanzania Prisons wikiendi…
Mayanga awakingia kifua washambuliaji
BAADA ya kuvuna pointi tatu dhidi ya waajiri wake wa zamani wa Mbeya City, kocha wa Mashujaa, Salum Mayanga amezisifu timu pinzani na kuwakingia kifua washambuliaji kwa kuzipa timu zao…
Ramaphosa asema mkutano wa G20, Afrika Kusini ulifanikiwa
Mkutano wa ngazi ya juu na wa kwanza kufanyika barani Afrika wa kundi la mataifa yenye uchumi mkubwa duniani, G20, ulihitimishwa rasmi jana jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Mwanamke wa Kithailand akutwa hai ndani ya jeneza, mwili wake ukisubiriwa kuchomwa
Kulingana na msimamizi mkuu wa hekalu hilo, Pairat Soodthoop, mwili huo uliletwa na kaka wa marehemu hekaluni hapo, kwa ajili ya kuchomwa moto, kulingana na imani za Kibudha.
Watoto watekwa nyara Nigeria
Kanisa Katoliki na Jumuiya ya Kikristo ya Nigeria linasema wanafunzi 50 kati ya zaidi ya 300 waliotekwa nyara kutoka shule ya Kikatoliki ya Nigeria wametoroka na kuungana na wazazi wao.
Tanzania tasks FSDT to stimulate the nation’s economic transformation
DODOMA: THE Permanent Secretary in the Ministry of Community Development, Gender, Women, and Special Groups, Dr John Jingu, has held discussions with the Financial Sector Deepening Tanzania (FSDT) aimed at…
Mapigano yaibuka kati ya kundi la wazalendo na FARDC
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, watu wawili wanaripotiwa kuuawa na wengine 15 kujeruhiwa vikali katika mapambano kati ya kundi la Wazalendo na askari wa Kongo, FARDC, mjini Uvira.
“….na mimi niungane na Mheshimiwa Rais pamoja na waheshimiwa Mawaziri waliotangulia kusema na wasemaji, kutoa pole kwa wale wote…
“….na mimi niungane na Mheshimiwa Rais pamoja na waheshimiwa Mawaziri waliotangulia kusema na wasemaji, kutoa pole kwa wale wote walioathirika na tukio hili poleni sana…lakini tukio hili lina madhara ya…
Assan Ouedraogo ang’ara katika Bundesliga
Mchezaji wa klabu ya RB Leipzig Assan Ouedraogo ameendelea kuonyesha makeke yake katika undesliga kwa kufunga bao maridadi dhidi ya St Pauli. Ouedraogo alicheza mechi yake ya kwanza na timu…
Usugu wa dawa tishio kwa watoto
USUGU wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa umetajwa kuwa tishio kubwa kwa watoto wenye umri mdogo kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya viuavijasumu The post Usugu wa dawa tishio…
Mbio za Baiskeli kusaidia watoto waishio mazingira magumu Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za baiskeli yanayolenga kukusanya zaidi ya Sh100…
Mwigizaji mkongwe Dharmendra afariki dunia
Nyota mkongwe wa filamu za Kihindi, Dharmendra afariki dunia asubuhi ya leo Jumatatu akiwa na...
Dk. Mwigulu akagua uharibifu wa vurugu
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 24, 2025, amekagua miundombinu na mali zilizoharibiwa kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo imelenga kujionea uharibifu uliotokea…
Kesi ya kughushi vibali vya silaha inayowakabili maofisa wa Polisi, yaiva
Upelelezi wa kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa wakiwemo...
Taasisi ya Thabo Mbeki yakosoa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
Taarifa hiyo inakuja siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuzindua tume itakayochunguza vurugu zilizotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, huku akiipa tume…
Tanzania readies for Africa’s Antimicrobial Resistance Conference
DAR ES SALAAM: TANZANIA will host the African Antimicrobial Resistance Conference to be held from December 2 to 6, 2025, in Dar es Salaam, aiming to discuss the status of…
Vikundi 82 vyanufaika mkopo wa Sh789 milioni Chunya
Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imetoa mkopo wa zaidi ya Sh789.5 milioni kwa...
Swiss tourist picks Machame Route for Mt Kilimanjaro conquest
KILIMANJARO: A first-time visitor to the country, Anna, a Swiss living in Germany, has praised Tanzania’s irresistible charm, noting that the country’s famous safaris, breathtaking landscapes, and the magnetic energy…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imewaachia huru watuhumiwa 57 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa ta…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imewaachia huru watuhumiwa 57 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa tangu Oktoba 29, 2025 kufuatia matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi.…
Mvua wilayani Sumbawanga zakata mawasiliano ya vijiji
Mvua zinazoendelea katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Sumbawanga zimesababisha kusombwa kwa...
PM Nchemba assesses efforts to restore DART services
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has begun the process to restore the Dar es Salaam Rapid Bus services for the Kimara route. Speaking after receiving the delegation, the Dar…
🔴MEZA HURU – UMUHIMU WA BIMA…NOVEMBA 24- 2025
🔴MEZA HURU - UMUHIMU WA BIMA...NOVEMBA 24- 2025
MWANAMKE initiatives pushes clean cooking agenda at COP30
BRAZIL: A Non-Governmental Organisation dubbed MWANAMKE Initiatives Foundation (MIF) has expressed its commitment to expanding clean cooking solutions as a key driver of improved health, women’s empowerment, and environmental protection.…
With 85 per cent done, Tanzania’s copper, nickel smelting nears completion
DODOMA: TANZANIA continues to make significant progress in its programme to establish mineral value-addition industries, with the construction of a new nickel and copper processing and smelting plant now 85…
IOM yazindua kampeni ya kimataifa kuhamasisha msaada kwa manusura wa uhamishaji haramu wa binadamu
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), leo hii huko Geneva, Uswisi limezindua kampeni ya kimataifa iitwayo “Anyone a Victim,” yaani "kila mtu ni muathirika" au kwamba kila mmoja…
UNICEF/GAVI: Kupunguzwa kwa bei ya chanjo ya malaria kutaokoa watoto milioni 7 zaidi kufikia 2030
Muungano wa chanjo duniani Gavi, na shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF wamefikia makubaliano mapya ya bei ambayo itapunguza kwa kiasi kikubwa gharama ya chanjo muhimu ya…
Katibu wa UN aonya kwenye mkutano wa AU–EU: Dunia inabadilika kwa kiwango cha kutisha
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres leo ametoa onyo kali katika Mkutano wa 7 wa Muungano wa Afrika na Muungano wa Ulaya unaofanyika mjini Luanda Angola, akisema kuwa…
Mashindano ya mpira wa miguu kwa waliokatwa viuongo Gaza yafana
Mashindano ya mpira wa miguu yanayofahamiaka kama Hope Championship kwa watu waliokatwa viungo katika Ukanda wa Gaza yamemalizika majuzi baada ya siku nne mfululizo za michuano. Mashindano haya yanaandaliwa na…
Ushauri nasaha wamwezesha mkimbizi kurejea maisha ya kawaida
Tukielekea katika siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake hapo kesho Novemba 25 leo tunakupeleka Kenya kwake Geradline Ndayisenga, raia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) ambaye…
Rais Mwinyi aongoza kikao kazi cha viongozi wa serikali
ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza Kikao Kazi kilichowajumuisha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, kilichofanyika leo…
Finance Minister affirms its critical responsibility in steering Zanzibar’s economic goals
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S newly appointed Minister of Finance and Planning, Dr Juma Malik Akil, has pledged to build on the foundations laid by his predecessors to ensure the financial sector remains…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
ANGA Zanzibar: Uwekezaji wa kimkakati katika miradi ya makazi Zanzibar
Kadri masoko ya mali zisizohamishika Afrika Mashariki yanavyozidi kuvutia wawekezaji wa...
Tanzania kujiuliza kwa New Zealand Futsal
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Futsal kupoteza mechi ya kwanza ya kundi C ya michuano ya Kombe la Dunia la Futsal kwa mabao 10-0 dhidi ya Ureno,…
Wanachama CHADEMA wakimbilia usalama wao Kenya
Kufuatia ghasia zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 nchini Tanzania, baadhi ya viongozi wa upinzani wa CHADEMA wamekimbilia nchini Kenya kutafuta hifadhi ya kisiasa. Miongoni mwao…
Tanzania addresses challenges facing its citizens affected by wildlife
MOROGORO: THE Tanzanian government affirmed its commitment to strengthening and expanding collaboration between its Ministry and regional authorities in developing conservation efforts and increasing the value of natural resources and…
Tanzania kujiuliza kwa New Zealand
Baada ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Futsal kupoteza mechi ya kwanza ya kundi C ya michuano ya...
Madhara kumzuia mtoto kuuliza maswali
Uzoefu unaonesha mtoto anayelekezwa kuuliza na kujibu maswali hujengeka zaidi kiakili, kijamii...
Mambo yanayomsubiri Chongolo Wizara ya Kilimo
Wadau wameeleza matarajio yao kwa Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo huku wakitaja mambo...
Tanzanian hospitality adds a dimension to the country’s tourism
ARUSHA: TOURISTS visiting Tanzania have praised the country’s warm hospitality and uplifting atmosphere, describing the experience as “full of positive vibes” and “impossible not to love.” The tourists who came…
Usikose ofa hii katika msimu wa sikukuu
Usikose ofa hii katika msimu wa sikukuu... #ITVDIGITAL #ITVUpates #ITV #christmas #newyear