#MICHEZO: Baadhi ya mashabiki wa Simba SC, wamesema kilichowafanya wafungwe ni uzembe wa Kocha Dimitar Pentev kucheza bila washa…
#MICHEZO: Baadhi ya mashabiki wa Simba SC, wamesema kilichowafanya wafungwe ni uzembe wa Kocha Dimitar Pentev kucheza bila washambuliaji asilia kipindi cha kwanza. Simba walipoteza kwa kwa kufungwa goli 1-0…
Investigations intensified after blaze destroys two dormitories in Kwimba
MWANZA: THE government has intensified investigations into the fire that razed two dormitories housing Form One and Form Three students at Sumve Secondary School in Mwanza Region. Speaking during a…
Mwinyi orders crackdown on informal land sales
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi has directed the Ministry of Lands and Housing Development to ban the widespread informal sale of plots, warning that unregulated land transactions undermine proper…
Africa steps up pressure for funds at COP30
“Africa remains steadfast. We engage with flexibility and purpose, and we will continue to support the presidency as we strive for a fair and effective global response to climate change…
Be proud of your country, govt tells Tanzanians
DAR ES SALAAM: THE government has urged Tanzanians to be proud of their country, saying several flagship development projects are poised to transform the nation and position it as a…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA KWENYE MICHEZO YA WATOTO…NOVEMBA 24, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: FURSA KWENYE MICHEZO YA WATOTO...NOVEMBA 24, 2025
TRA: Revenue drive won’t raise taxes
DAR ES SALAAM: TANZANIA Revenue Authority (TRA) Commissioner General, Mr Yusuph Mwenda has assured Tanzanians that the country’s drive toward self-reliance through domestic revenue will not involve raising tax rates.…
‘Ignore divisive narratives’
Foreign media told to avoid biased reporting DAR ES SALAAM: THE government has called on Tanzanians to remain calm and ignore divisive narratives as the Independent Commission of Inquiry investigates…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
Viongozi wa Afrika na Ulaya wakutana Luanda Angola
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika wanakutana Angola kwa mkutano wa siku mbili, unaolenga kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kiusalama, ambao utakuwa pia jukwaa la mazungumzo ya…
Gavi, Unicef watia saini mkataba wa kupunguza bei ya chanjo ya malaria
Gavi inakadiria kushuka kwa bei hiyo kutaokoa dola milioni 90, ambazo zinaweza kufadhili dozi milioni 30 zaidi kwa hadi watoto milioni 7 zaidi katika miaka mitano ijayo.
Viongozi wa Uturuki na Ethiopia wajadili uhusiano wa pande mbili, masuala ya kikanda kando ya G20
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, ambaye yuko Johannesburg, Afrika Kusini kwa mkutano wa G20, alikutana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kwa mazungumzo, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Uturuki…
Oriana, mke wa Dybala mwenye nyota isiyozimika
Mashabiki wa AS Roma wana kiu ya kumuona Paulo Dybala 32, akirejea tena uwanjani, lakini upande...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 24, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 24, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Rais wa Nigeria amesema waumini 38 waliotekwa nyara kanisani Nigeria wameokolewa
Rais wa Nigeria Bola Tinubu alisema Jumapili kwamba waumini 38 waliotekwa wakati watu wenye silaha walipovamia ibada ya kanisa wiki jana na kuua watu wawili, wameokolewa.
🔴KUMEKUCHA: MANUFAA YA BANDARI KAVU YA KWALA- NOVEMBA 24, 2025
🔴KUMEKUCHA: MANUFAA YA BANDARI KAVU YA KWALA- NOVEMBA 24, 2025
‘Ndugu wa Sudan’ wanataka Uturuki ishiriki katika juhudi za amani: Erdogan
Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan alisema siku ya Jumapili kwamba "ndugu wa Sudan" wanataka Uturuki ishiriki katika juhudi za kufikia amani nchini humo na vita vinavyoendelea.
Marekani: Yapo matumaini kuelekea amani nchini Ukraine
Ikulu ya White House imesema siku ya Jumapili kwamba mazungumzo kuhusu pendekezo la Marekani la kuvimaliza vita nchini Ukraine yalionyesha "matumaini makubwa."
Israel: Tumemuua kiongozi wa juu wa kijeshi wa Hezbollah
Jeshi la Israel limesema limemuua kiongozi wa juu wa kijeshi wa Hezbollah katika shambulizi mjini Beirut siku ya Jumapili, ambalo liliwaua watu watano.
Rais Bola Tinubu aongeza polisi kudhibiti hali ya usalama
Rais wa Nigeria Bola Tinubu amewapatia majukumu ya kipolisi walinzi wa kundi la "vigogo" na kuamuru maelfu ya maafisa wapya kuajiriwa kutokana na mgogoro wa kiusalama, hii ikiwa ni kulingana…
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon akimbilia Gambia
Mwanasiasa wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary amekimbilia nchini Gambia hii ikiwa ni kulingana na serikali ya Gambia siku ya Jumapili.
Tehran: Azimio la IAEA dhidi ya Iran ni ‘doa la fedheha’ kwa watayarishaji wake
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani azimio lililopitishwa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Tehran na…
Guterres: Afrika itagharamika pakubwa licha ya kuchangia kidogo sana mabadiliko ya tabianchi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema kuwa Afrika italipa "gharama kubwa" kutokana na athari mbaya za mabadiliko ya tabianchi licha ya kuhusika kwake kwa kiwango kidogo sana…
Mkuu wa Jeshi alikosoa kundi linalosaka amani ya Sudan
Mkuu wa Jeshi la Sudan Abdel Fattah al-Burhan amesema jana Jumapili kwamba kundi la wapatanishi wanaojaribu kusaka suluhu ya amani kati ya jeshi lake na wanamgambo wa RSF "lilikuwa la…
Kumbukumbu ya Uhalifu wa Magharibi – Wounded Knee Massacre; Mauaji ya Wahindi Wekundu huko South Dakota, 1890
Mauaji makubwa ya Wounded Knee Massacre hapo 1890 huko South Dakota, Marekani, yalikuwa mojawapo ya ukatili wa umwagaji damu mkubwa zaidi dhidi ya Wahindi Wekundu katika historia ya Marekani, ambayo…
Tanzania yazionya BBC, CNN, DW na al-Jazeera ikisema vina nia ovu
Msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amevikosoa vyombo vya habari vya nje akivitaka kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari.
#KIPIMAJOTO: Malalamiko ya mara kwa mara ya Wavuvi katika Ziwa Tanganyika kulalamika kuporwa zana zao za uvuvi na wanachokivua
#KIPIMAJOTO: Malalamiko ya mara kwa mara ya Wavuvi katika Ziwa Tanganyika kulalamika kuporwa zana zao za uvuvi na wanachokivua. Je, serikali mkoani Kigoma imeshindwa kutatua kero hiyo sugu?
Marekani: Yapo matumaini ya makubaliano ya amani, Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amesema kuna hatua kubwa iliyofikiwa wakati wa mazungumzo na maafisa wa Ukraine mjini Geneva kuhusu mpango ulioandaliwa wa amani uliaondaliwa na…
Iran yaidhinisha miradi ya uwekezaji wa kigeni ya dola milioni 485
Bodi ya uuwekezaji wa kigeni ya Iran imeidhinisha maombi 67 yenye thamani ya dola milioni 485 wakati wa mkutano wake wa tisa wa mwaka, kuashiria maslahi mapya kutoka kwa wawekezaji…
Kwa nini ugonjwa wa kichaa cha mbwa unaua maelfu barani Afrika licha ya kuwa unaoweza kuzuilika
Ulimwenguni kote, kichaa cha mbwa huua takriban watu 59,000 kila mwaka, na karibu 95% ya vifo hivi vikitokea Afrika na Asia. Hii inasababishwa na ongezeko la idadi ya mbwa wanaotangatanga…
Jumatatu, 24 Novemba, 2025
Leo ni Jumatatu 03 Jamadithani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 24 Novemba 2025.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 24, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 24, 2025
New York Times yapotosha uhalisia vurugu za uchaguzi
GAZETI la New York Times la Marekani limeandika taarifa inayopotosha ukweli kuhusu vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, mwaka huu. The post New York…
Vyombo vya habari vizingatie weledi kulinda amani, uzuri wa Tanzania
MSEMAJI Mkuu wa Serikali na, Gerson Msigwa alizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kueleza jinsi baadhi ya vyombo vya habari vya nje vinavyopotosha uhalisia wa vurugu zilizotokea wakati…
Askofu awasihi vijana kudai haki kwa kuzingatia amani
ASKOFU wa Jimbo la Dodoma wa Kanisa la Tanzania Missionary Revival Church (TMRC) Dickson Chiulei amewashauri vijana watakaopata msamaha wa rais kufuatia vurugu za wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29,…
24.11.2025 Matangazo ya Mchana
Viongozi wa Afrika na Ulaya wakutana Luanda Angola+++Serikali ya Tanzania imevikosoa kwa matamshi makali vyombo vya habari vya kimataifa na kuvilaumu kwa kuchapisha ripoti kuhusu matukio ya kile upinzani na…
Gladbach ina kibarua kipevu na Leipzig Ijumaa
Borussia Moenchengladbach ina miadi na RB Leipzig nyumbani Borussia Park. Gladbach watashuka dimbani baada ya ushindi mnono wa 3-0 ugenini Heidenheim wikendi iliyopita huku Leipzig nao wakiwa na nguvu nyingi…
24.11.2025 Matangazo ya Jioni
Marekani na Ukraine zinaendelea na mazungumzo nchini Uswisi hii leo ili kufikia mpango wa amani unaokubalika kwa pande zote+++Wakfu wa Thabo Mbeki wakosoa uchaguzi wa Tanzania+++Iran yakosoa mauaji ya Ali…
24.11.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Marekani yasifu hatua zilizofikiwa kwenye mazungumzo ya kuvimaliza vita nchini Ukraine+++ Jeshi la Israel lamuua kiongozi wa juu wa kijeshi wa kundi la Hezbollah nchini Lebanon+++ Mkuu wa Jeshi la…
Wananchi waombwa kuwaunga mkono wahitimu VETA
WITO umetolewa kwa wananchi kushiriki katika kutangaza na kutumia bidhaa zinazozalishwa na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) ili waweze kuwaunga mkono na kuthamini mafunzo yanayotolewa. Kaimu Mkurugenzi wa…
Siku 7 Kukamilisha Barabara ya Gairo–Kintinku
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku saba kwa wakandarasi wazawa wanaotekeleza miradi ya dharura katika barabara ya Gairo - Dodoma - Kintinku wakamilishe kuweka tabaka la juu la lami.…
Ulega asimamisha kazi watumishi Tanroads
SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wanaodaiwa kuhusika na uzembe wa kutoshughulikia tatizo la mizani ya Mikese mkoani Morogoro. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega alitoa agizo…
Bima ya afya kujumuisha makundi matano
SHERIA ya Bima ya Afya kwa Wote ya Mwaka 2023 imeeleza mfumo wa bima ya afya kwa wote utajumuisha makundi matano. Kifungu cha sita cha sheria hiyo itakayotumika Tanzania Bara…
“Tuzo za kampuni ni vyenzo ukuaji uchumi”
DAR ES SALAAM: Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa kampuni 100 bora ni nyenzo muhimu ya kuvutia uwekezaji na kukuza…
ATCL kuongeza vituo vitatu kimkakati
SERIKALI imesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linazidi kuimarika na litaongeza vituo vitatu kimkakati. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema hayo Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa…
…Yafunguka maeneo ya reli za juu Dar, Dodoma
SERIKALI imesema inakamilisha maandalizi ya kuanza ujenzi wa treni za mjini zitakazopita juu katika majiji ya Dodoma na Dar es Salaam. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hayo wakati…
Serikali mguu sawa ujenzi Bandari ya Bagamoyo
SERIKALI imesema inajiandaa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema serikali inaanza ujenzi huo na kwamba wawekezaji wakija watajumuika nao na wasipokuja…
Serikali: Ni vita ya uchumi
SERIKALI imesema taarifa za kupotosha kuhusu matukio ya vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu na siku zilizofuatia zina lengo la kuharibu uchumi wa Tanzania. Msemaji Mkuu wa…
Africa quests UNSC seat-power eludes
Recently, Africa has been very intentional to find voice on the global stage, seeking stronger representation in the G20, and above all permanent representation at the UN security council. (UNSC).…