Tanzania marks Air Safety Culture Week with emphasis on airport infrastructure
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Airports Authority (TAA) has announced that it is committed to improving infrastructure at its airports to create a more user-friendly environment, enhance air transport services,…
Katika kuongeza jitihada za kukabiliana na jinamizi la rushwa katika mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), taasisi hiyo kup…
Katika kuongeza jitihada za kukabiliana na jinamizi la rushwa katika mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), taasisi hiyo kupitia bodi yake ya Ushauri na Kupambana na Rushwa (AUABC) imeanza…
Wananchi Iringa wafikiwa kampeni NIC Kitaa
IRINGA: Kampeni ya kutoa elimu ya bima mtaani ijulikanayo kama NIC Kitaa imezinduliwa mkoani Iringa ikiwa na lengo la kuwafikia wananchi moja kwa moja katika maeneo wanayoishi na kufanya shughuli…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
Tanzania parades its rich attractions at Qatar Travel Mart
DOHA: PARADING the country’s rich attractions, Tanzania is taking part in the Qatar Travel Mart, which has officially begun today, November 24th, in Doha. Tanzania aims to increase awareness of…
Tanzania nabs 14 Burundians for illegal stay
MWANZA: THE Mwanza Regional Police Force is holding 14 Burundians for staying in Tanzania illegally. They were arrested while being transported unlawfully using two passenger vehicles in various locations within…
Tanzanian envoys in Angola as the AU-EU Summit seeks joint actions in solidarity
LUANDA: THE 7th African Union–European Union Summit of Heads of State and Government has begun today, November 24, 2025, in the Angolan capital, Luanda, this morning The Tanzanian envoy at…
BoT Museum wins global appeal in financial sector education
DAR ES SALAAM: THE Bank of Tanzania (BoT) Museum has firmly established itself as a vital tool for public education in the financial sector to the extent it attracts visitors…
Safari ya Koffi na tuhuma nzito
Kwa zaidi ya miaka 48 sasa, jina la Koffi Olomide limeendelea kuvuma ndani na nje ya mipaka ya...
Nandy darasa jipya kwa mastaa wa kike Bongo
Mwanamuziki wa Bongofleva, Faustina Mfinanga maarufu Nandy anazidi kuthibitisha kuwa...
Wananchi Dar, Pwani walia uhaba wa maji Serikali yafafanua
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na Pwani wamedai kukabiliwa na adha kubwa ya...
Umuhimu wa tiba sahihi ya mifupa
Je, unafahamu kuwa, kutibu mifupa kwa njia zisizo sahihi kunaweza kuathiri afya yako na kupelekea kupoteza viungo au kupata ulemavu wa kudumu?
Davido aibuka kisa shambulio, utekaji
Nyota wa muziki aliyeshinda tuzo nyingi, Davido amekemea kuhusu utekaji wa wasichana 25 katika...
Pakistan: Shambulio la kujitoa mhanga dhidi ya vikosi vya usalama mpakani laua watu kadhaa
Askari watatu wa vikosi vya usalama vya mpakani nchini Pakistani wameuawa leo Jumatatu, Novemba 24, katika shambulio la kujitoa mhanga kwenye makao yao makuu huko Peshawar, katika jimbo la Khyber…
#HABARI: Rais wa Nigeria ameagiza kuhamishwa kwa maafisa wa polisi wanaolinda watu mashuhuri hadi sehemu zingine kukabiliana na …
#HABARI: Rais wa Nigeria ameagiza kuhamishwa kwa maafisa wa polisi wanaolinda watu mashuhuri hadi sehemu zingine kukabiliana na tatizo la usalama nchini humo. Rais Bola Ahmed Tinubu ameamuru kuhamishwa kwa…
Mambo kumi kuhusu Q Chief
Mkongwe wa Bongofleva, Abubakar Katwila almaarufu Q Chief ni miongoni wasanii wenye sauti ya...
Dube alivyoianza misimu Yanga
Msimu huu wa 2025/2026 ni wa pili kwa mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube tangu alivyotua...
Bangladesh yaitaka India imrejeshe Hasina nyumbani
Serikali ya Bangladesh imeiomba India imrejeshe nyumbani Waziri Mkuu wa zamani aliyeondolewa madarakani Sheikh Hasina, aliyehukumiwa kifo mapema wiki iliyopita.
Nyuma ya jina la msanii 20% kuna stori hii
Msanii mkongwe wa Bongofleva, Abbas Hamis ‘20 Percent’ amezungumzia nini maana ya a.k.a ya jina...
Israel: Jeshi latangaza kuwafukuza majenerali kadhaa kuhusiana na Oktoba 7
Jeshi la Israel limetangaza kuwafukuza majenerali kadhaa kutoka nyadhifa muhimu mnamo Oktoba 7, 2023, kwa kushindwa kwao kuzuia shambulio la kundi wanamgambo wa Kipalestina la Hamas siku hiyo, ambalo lilisababisha…
Rushwa imeendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya mataifa mbalimbali huku Afrika ikitajwa kuwa miongoni mwa mabara yanayoo…
Rushwa imeendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya mataifa mbalimbali huku Afrika ikitajwa kuwa miongoni mwa mabara yanayoongoza. Katika jitihada hizo, Bodi ya Umoja wa Afrika ya Ushauri na Kupambana…
Clement Mzize: Mtanzania wa kwanza kutwaa kiatu cha dhahabu CAF
Novemba 19, 2025, mshambuliaji wa Young Africans Sports ya nchini Tanzania, Clement Mzize alitunukiwa tuzo ya Goli Bora la 2025 tuzo iliyotolewa na shirikisho la Michezo barani Afrika CAF.
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
Uhusiano kati ya Uturuki na kambi ya mashariki ya Libya inayoongozwa na Marshal Haftar waimarika
Uhusiano kati ya Uturuki na kambi ya mashariki ya Libya inayoongozwa na Marshal Khalifa Haftar unaimarika. Uhusiano huu, ambao tayari unaendelea tangu mwanzoni mwa 2025, unaongezeka kasi. Ziara kati ya…
Miguu kifundo ni tatizo linalotibika likiwahiwa
MIGUU kifundo au nyayo zilizopinda ni aina ya ulemavu unaotokana na matatizo ya mifupa ambayo humtokea mtoto yeyote baada ya kuzaliwa. Wataalamu wanaeleza kuwa hakuna sababu sahihi inayohusishwa na watoto…
Joshua anarudi baada ya miezi 14
Pambano kubwa la uzani wa juu kati ya Anthony Joshua na Jake Paul litachezwa mwezi ujao jijini...
Mastaa watatu Yanga walivyoimaliza mechi
Ushindi wa Yanga juzi Jumamosi dhidi ya AS FAR Rabat, kwa kiasi kikubwa uliratibiwa na mastaa...
Matatizo ya Liverpool yananihusu
Kocha wa Liverpool, Arne Slot amesema yeye ndio anapaswa kupewa lawama kutokana na mfululizo...
Papa atoa wito wa kuachiliwa ‘mara moja’ kwa wanafunzi waliotekwa nyara Nigeria
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV ametoa wito siku ya Jumapili, Novemba 23, wa kuachiliwa “mara moja” kwa wanafunzi na walimu zaidi ya 300 waliotekwa nyara na watu…
Curacao iamshe harakati za Zanzibar uanachama FIFA
Curacao, nchi yenye watu laki na elfu hamsini na nane (158,000) imefuzu Kombe la Dunia...
Umuhimu wa lishe bora katika kutibu utapiamlo
MAENDELEO ya Taifa lolote pamoja na mambo mengine yanahitaji uwepo wa watu (nguvu kazi) wenye afya njema na uwepo wa lishe bora ili kuwawezesha kufanya kazi kwa bidii na tija.…
Cameroon: Kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma Bakary apokelewa Gambia ‘kwa muda’
Issa Tchiroma Bakary, aliyetangazwa kushika nafasi ya pili katika uchaguzi wa urais nchini Cameroon, yuko wapi kwa sasa? Yuko Banjul kwa “sababu za kibinadamu,” kulingana na serikali ya Gambia, ambayo…
Madhara ya ukosefu wa amani kwa wanafunzi kitaaluma
JUZI gazeti hili liliandika makala chini ya kichwa cha habari: ‘Vijana Vyuoni na Tanzania Yenye Utajiri wa Amani’ yakieleza maoni ya vijana wanaoendelea na waliohitimu masomo yao katika vyuo vikuu…
Angola: Giorgia Meloni anataka kuzingatia Mpango wake wa Mattei na ukanda wa Lobito
Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni anajiandaa kutetea maslahi ya Italia—nchi ya kwanza ya Magharibi kutambua uhuru wa Angola mnamo Februari 1976—wakati wa mkutano wa kilele wa Luanda kati ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 24, 2025
Kwa nini Macron anaamini kuwa G20 inakaribia kuporomoka
Katika ufunguzi wa mkutano wa kilele wa G20 mjini Johannesburg, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alisema katika hotuba isiyo ya kawaida kuwa kundi hilo limepoteza uwezo wake wa kutatua migogoro…
Emmanuel Macron nchini Gabon, ziara ya kwanza tangu Brice Oligui Nguema aingie Madarakani
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kiserikali nchini Gabon siku ya Jumapili, Novemba 23, yenye lengo la “kuimarisha na kufufua” ushirikiano wa pande mbili, miaka miwili baada ya…
Msitu wa Ngezi; thamani itakayoipaisha Pemba
PEMBA ni moja ya visiwa vikongwe vya Zanzibar kinachoishi chini ya kivuli cha kisiwa dada chenye harakati nyingi cha Unguja. Kisiwa hicho tulivu, chenye kijani kibichi, kwa kiasi kikubwa hakijapata…
Mkutano wa AU/EU: Je, kuna mustakabali gani wa uhusiano kati ya Mabara haya mawili?
Karibu wakuu wa nchi na serikali 80 wanatarajiwa mjini Luanda leo Jumatatu, Novemba 24. Mkutano wa pamoja wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya unafanyika katika mji mkuu wa…
TANAPA impressed by speed of Serengeti Golf Course construction
DAR ES SALAAM: THE Board of Trustees of the Tanzania National Parks Authority (TANAPA), led by Chairperson, retired Chief of Defence Forces, General George Waitara, has expressed satisfaction with the…
Kisa kipigo, Slot asusia tuzo
Meneja wa Liverpool, Arne Slot, alikosekana kabisa kwenye hafla ya utoaji tuzo licha ya...
Yanga celebrate hard-fought win over FAR Rabat
ZANZIBAR: YOUNG Africans’ President Hersi Said expressed his delight after his side secured a hard-fought 1-0 victory against Moroccan giants AS FAR Rabat at the New Amaan Complex in Zanzibar…
#MEZAHURU:Kitu gani kifanyike kuepuka lawama za Makampuni mengi ya BIMA kwenye huduma zake au unashauri nini?
#MEZAHURU:Kitu gani kifanyike kuepuka lawama za Makampuni mengi ya BIMA kwenye huduma zake au unashauri nini? #SaaTisaAlasiri #MezaHuru
Historia ya Bongo Fleva haiwezi kumsahau mkali wa ‘hizo kazi’, Twenty Pah a.k.a 20 Percent kwa kunyakua tuzo tano ‘kwa mpigo’ ku…
Historia ya Bongo Fleva haiwezi kumsahau mkali wa 'hizo kazi', Twenty Pah a.k.a 20 Percent kwa kunyakua tuzo tano 'kwa mpigo' kupitia ngoma kali zilizomtambulisha na kumpa heshima kubwa. Kama…
Israel yatenda jinai nyingine kwa kumuua shahidi kamanda wa Hizbullah
Utawala vamizi wa Israel umetenda jinai nyingine kwa kumuua shahidi Haitham Ali Tabatabaei kamanda wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Oman Badr Al-Busaidi mjini Muscat Jumapili jioni na kujadili masuala mbalimbai yakiwemo ya…
Rais Erdogan: Amani haiwezi kupatikana pasi na kuundwa taifa la Palestina
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana bila kuundwa taifa la Palestina.
TZ clubs struggle in CAF opener
DAR ES SALAAM: TANZANIAN clubs endured a difficult start in their CAF interclub campaigns over the weekend, with Simba SC, Azam FC and Singida Black Stars all falling to defeats,…
Rais wa Uturuki: Amani haiwezi kupatikana bila kuundwa taifa la Palestina
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana bila kuundwa taifa la Palestina.
Danny Citrinowicz: Ushawishi wa vyombo vya habari vya Iran barani Afrika umeongezeka
Mtafiti mkuu wa Mpango wa Iran katika Taasisi ya Utafiti wa Usalama wa Taifa ya Israel (INSS) ameeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa ushawishi wa vyombo vya habari vya Iran…