Aliyekuwa makamu wa rais wa Marekani Dick Cheney aaga dunia
Makamu wa rais wa zamani wa Marekani Dick Cheney amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Cheney alikuwa makamu wa rais wa 46, akihudumu chini ya rais Mrepublican George…
Ligi Kuu kuendelea Jumamosi
Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi...
Yanga, Simba zapewa ratiba tamu makundi CAF
Yanga na Simba zimepata ratiba rafiki ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu...
Rais Samia atoa wito wa mshikamano wa kitaifa
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa mshikamano wa kitaifa, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na utulivu baada ya kuapishwa kwa muhula mpya wa miaka mitano. Katika…
Kansela Merz wa Ujerumani ataka Wasyria kurejea makwao
Kansela wa Ujerumani Friedriech Merz amesema Wasyria hawana tena msingi wa kuomba hifadhi nchini Ujerumani kwa sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe vimemalizika nchini mwao.
Polisi walikiuka haki za binadamu nchini Tanzania: Amnesty International
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu, katika ripoti yake, kuhusu vurugu zilizotokea nchini Tanzania, siku ya upigaji kura Oktoba 29, imesema polisi walitumia nguvu kupita kiasi dhidi ya…
Singapore kuanza kuwacharaza viboko walaghai wa mitandaoni
Singapore inapanga kuwaadhibu walaghai wa mitandaoni kwa kuwacharaza viboko sita. Hayo yamesemwa bungeni na waziri mmoja, wakati taifa hilo likiimarisha vita vyake dhidi ya makundi ya ulaghai.
Yanga yapewa Waarabu watatu, Simba yatupwa Kundi D Ligi ya Mabingwa
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, leo Novemba 3, 2025 limechezesha droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Yanga imepangwa Kundi B wakati Simba ikiwa Kundi…
CAF yamkutanisha Aziz Ki na Fei Toto, ikimrudisha Ramovic Bongo
DROO ya Kombe la Shirikisho la Afrika iliyochezeshwa Jumatatu Novemba 3, 2025 imekuwa na mambo mawili katika soka la Tanzania.
Ligi Kuu Bara, Championship kurejea Novemba 8
Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni, huku wadau mbalimbali wakichekelea.
Morocco haendi Morocco, ni zamu ya Gamondi
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Kocha Miguel Gamondi kuwa kaimu kocha mkuu wa timu ya taifa (Taifa Stars), akichukua nafasi ya Hemed Suleiman ‘Morocco’.
Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu
Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu…
Kimya chetu si kusaliti wajibu wetu: Ujumbe kwa wasomaji wetu
Tanzania ipo katika kipindi kisicho na mfano katika historia yake ya kisiasa. Tunapotazama nyuma uchaguzi wa mwaka 2025, matukio yaliyotokea na maisha yaliyobadilika, tunajikuta tukitafakari ukurasa mgumu uliogeuka sehemu muhimu…
Qalibaf: Vita vya siku 12 vimethibitisha kuwa ‘uadui’ wa Marekani dhidi ya Iran ‘unaendelea’
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, ametangaza kwamba vita vya hivi karibuni vya siku 12 vimefichua uadui unaoendelea wa Marekani, akisisitiza kwamba ingawa mbinu zake zimebadilika, lakini lengo…
Ahadi mpya za tabianchi hazitoshi kupunguza ongezeko la joto duniani, yaonya UNEP
Ahadi mpya zilizotolewa na serikali kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zimepunguza kwa kiwango kidogo tu ongezeko la joto duniani katika karne hii, hali inayoiweka dunia kwenye hatari kubwa ya…
Mwakilishi wa FAO asema nini kifanyike kuvutia vijana kwenye kilimo
Wakulima nawahimiza wawe tayari kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kutumia teknolojia mpya na mbegu zinazohimili mabadiliko ya tabianchi, amesema Nyabenyi Tito Tipo, Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa…
IOM yazindua mpango mpya wa kuimarisha uwezo wa Afrika Magharibi kukabiliana na wimbi la wahamiaji wanaopotea
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) leo tarehe 4 mwezi Novemba mwaka 2025, limezindua mpango wa kihistoria kwa kushirikiana na serikali za Gambia na Mauritania, wenye lengo la…
Baa la njaa lathibtishwa huko El Fasher na Kadugli nchini Sudan, huku njaa ikipungua maeneo mapigano yalikopungua
Baa la njaa limethibitishwa hii leo katika miji iliyozingirwa na mapigano ya El Fasher huko Darfur Kaskazini na Kadugli huko Kordofan Kusini, nchini Sudan, imesema tathmini mpya iliyotolewa na mashirika…
Viongozi wa dunia wapitisha Azimio la Doha ili kuimarisha juhudi za maendeleo ya kijamii
Wakati dunia ikikabiliwa na migogoro ya kisiasa na pengo linaloongezeka la usawa, viongozi wa dunia wamekutana katika Mkutano wa Pili wa Dunia kuhusu Maendeleo ya Kijamii, (WSSD2 huko mjini Doha,…
Kiongozi wa kijeshi Guinea atangaza kugombea urais
Kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Guinea amewasilisha rasmi jina lake kugombea urais katika uchaguzi wa Disemba, akibatilisha ahadi yake ya awali kwamba hatagombea baada ya kuongoza mapinduzi miaka minne…
Tehran yasema ‘vita halisi vya kikanda’ na Israel vinaendelea, yapuuza mazungumzo na Marekani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kwamba eneo la Magharibi mwa Asia kwa sasa limo katika na "vita halisi" na utawala wa Israel, akisisitiza…
Nyaraka za jeshi la Israel zafichua: Mfungwa wa Kipalestina aliyebakwa alikuwa raia, si mpiganaji
Waraka wa siri wa jeshi la Israel umefichua kwamba mtu aliyeshambuliwa kikatili na kubakwa na kundi la wanajeshi wa Israel katika gereza maarufu la Sde Teiman mnamo Julai mwaka jana…
Guterres: Uhalifu wa kivita nchini Sudan hauwezi kupita hivihivi bila kuadhibiwa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka ili kusimamisha mapigano nchini Sudan, akisisitiza kwamba moja ya masharti muhimu ya…
Tanzania yaanza kurejea hali ya kawaida baada ya uchaguzi
Nchini Tanzania hali imeanza kurejea kawaida licha baadhi ya maeneo kuarifiwa hali bado ni ya kusuasua tangu kulipofanyika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29.
Urusi na Ukraine zaongeza mashambulizi
Urusi imeshambulia miundombinu ya nishati nchini Ukraine huku Ukraine ikishambulia viwanda ndani ya Urusi
Watanzania waonywa dhidi ya kusambaza picha za kuzusha hofu
Serikali ya Tanzania imewaonya watu kutosambaza picha na video ambazo huenda zikasababisha hofu. Serikali imesema kufanya hivyo kutapelekea wao kukabiliwa na mashtaka ya uhaini.
Baraza la ulinzi Sudan kujadili usitishaji mapigano
Baraza la ulinzi linaloungwa mkono na jeshi la Sudan linatazamiwa kukutana leo ili kujadili pendekezo la kusitisha mapigano linaloungwa mkono na Marekani.
Tarehe 13 Aban; dhihiriisho la mshikamano wa kitaifa kwa ajili ya kukabiliana na sera za uingiliaji kati za Marekani nchini Iran
Tarehe 13 Aban (4 Novemba) inafahamika katika kalenda ya Iran kama "Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani".
Miili 45 ya Wapalestina iliyokuwa Israel yarejeshwa nyumbani
Israel imeikabidhi miili 45 ya Wapalestina siku moja baada ya wanamgambo wa Hamas kurejesha miili ya mateka watatu wa Israel kutoka Ukanda wa Gaza.
Israel inatumia wanasesere waliotegwa mabomu kuua watoto wachanga huko Gaza
Wizara ya Afya ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umetega mabomu kwenye wanasesere ili kuwaua watoto wa Palestina.
Tanzania yaondoa makataa ya mtandao
Baadhi ya marsharti yaliotangazwa nchini Tanzania wakati wa uchaguzi ikiwemo kukatwa kwa intaneti na marufuku ya watu kutembea yameanza kuondolewa. Imechapishwa: 04/11/2025 – 10:15Imehaririwa: 04/11/2025 – 10:24 Dakika 2 Wakati…
Maandamano ya Siku ya Kupambana na Ubeberu yanaendelea hivi sasa kwenye miji 900 ya Iran
Maandamano ya Siku ya Mwenyezi Mwenyezi Mungu yaani Aban 13 ambayo ni Siku ya Taifa ya Iran ya Kupambana na ubeberu na uistikbari yanaendelea hivi sasa hapa mjini Tehran na…
Duru za Israel: Hizbullah imeshajijenga upya, sasa tusubiri vita
Mashirika ya usalama ya Israel yametangaza kwamba yanajiandaa kwa ajili ya kuingia kwenye vita vikubwa na Hizbullah ya Lebanon yakidai kuwa harakati hiyo imeshajijenga upya kijeshi na sasa lazima wasubiri…
Majasusi watano wa Israel watiwa mbaroni Ghaza
Kikosi cha kujihami kiitwacho "Rad'e" kinachoshirikiana na Muqawama kwa ajili ya kulinda usalama huko Ghaza, jana Jumatatu kilifanya operesheni ya kiusalama kusini mwa mji wa Khan Yunis na kuwatia mbaroni…
Waziri al Sudani: Wananchi wataendelea kubeba silaha madamu Marekani bado ipo Iraq
Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed al-Sudani alisema jana Jumatatu kwamba kuondoka kikamilifu Marekani na muungano wake unaodaiwa wa kupambana na Daesh huko Iraq ndiko kutakakopelekea kupokonywa silaha makundi ya kujihami…
Kwa uchache watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya droni ya RSF nchini Sudan
Watu wasiopungua 20 wameuawa na wengine 34 kujeruhiwa jana Jumatatu katika mashambulizi mawili tofauti ya droni na ndege zisizo na rubani na Vikosi cha Usaidizi wa Haraka cha Kijeshi (RSF)…
DRC: Upatanishi wa Qatar uko njia panda baada ya Kinshasa na AFC/M23 kutofautiana
Wapatanishi wa Qatar wanajaribu kufufua mchakato wa amani na mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23. Wiki hii, watajaribu tena kuendeleza majadiliano kati ya serikali na kundi hili la waasi. Pia…
Peru yavunja uhusiano na Mexico baada ya kumpa hifadhi Waziri mkuu wa zamani Betssy Chavez
Peru imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Mexico siku ya Jumatatu, Novemba 3, baada ya kumpa hifadhi Waziri Mkuu wa zamani Betssy Chavez, ambaye anashtakiwa kwa jaribio la mapinduzi la Desemba…
Baada ya El-Fasher kuwa chini ya udhibiti wa RSF, Chad inajiandaa kwa kuwapokea Wasudan 120,000
Tangu Oktoba 26, mji wa El-Fasher umeangukia mikononi mwa wanamgambo wa RSF wa Jenerali Hemedti. Umoja wa Mataifa unazungumzia “vitendo vya kkatili,” na mashirika kadhaa ya kibinadamu yanaripoti uhalifu wa…
Gaza: Nchi za Kiislamu zakutana Uturuki na kukataa usimamizi wowote katika eneo la Palestina
Nchi saba za Kiislamu, ambazo zimekutana Istanbul siku ya Jumatatu, Novemba 3, kujadili mustakabali wa Gaza, zimesisitiza utawala wa Wapalestina pekee, zikikataa kuwekwa kwa “mfumo mpya wa usimamizi” katika eneo…
EU yatoa euro Milioni 9 kama msaada mpya wa kibinadamu kwa DRC
Tume ya Ulaya inatoa euro Milioni 9 kama msaada mpya wa kibinadamu kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kushughulikia mahitaji ya kibinadamu ya kutisha yanayoikabili nchi hiyo. Katika…
Watanzania hawakuweza kuonesha maamuzi ya yao ya kidemokrasia kwenye uchaguzi
Waangalizi wa uchaguzi toka Jumuiya ya SADC, wamesema raia wa Tanzania hawakuweza kuonesha maamuzi ya yao ya kidemokrasia katika uchaguzi wa juma lililopita kutokana na kile ujumbe huo umesema kuwepo…
Kenya: Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya udongo yaongezeka
Zaidi ya watu 40 kufukia sasa wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa maporomoko ya udongo ya wiki iliopita katika eneo la bonde la ufa nchini Kenya, mpaka na nchi ya Uganda.…
Guinea: Kiongozi wa kijeshi Mamady Doumbouya kuwania urais
Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea, Mamady Doumbouya, ameingia rasmi katika kinyanganyiro cha urais baada ya hapo jana kuwasilisha rasmi karatasi za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea katika uchaguzi wa Disemba 28,…
Polisi wawakamata Watu 27 Mombasa kwa shughuli zinazodaiwa za Kidini
Mamlaka mjini Mombasa yamewakamata watu 27, wakiwemo watoto 20, wanaoshukiwa kuhusika katika shughuli kama za kidini zinazohusiana na kanisa. Kundi hilo lilikamatwa huko Changamwe kufuatia ripoti ya umma ya watoto…
Jeshi la Iran lasema limejiandaa kulinda usalama wa taifa dhidi ya vitisho
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesema limejiandaa na limesimama thabiti mbele ya vitisho vya maadui, na linaendelea kujitolea kulinda mipaka ya ardhi na mfumo wa Kiislamu.
Neuer asema Bayern “wataiumiza” PSG
Mlinda lango mkongwe wa Bayern Munich, Manuel Neuer, amesema timu yake inafahamu pale pa kuiumiza Paris Saint Germain kuelekea mechi ya Ligi ya Vilabu Bingwa kati ya miamba hao wawili…
Israel yaandaa muswada wa ‘kifashisti’ wa kuruhusu utoaji wa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Wapalestina
Kamati moja ya wabunge wa utawala wa kizayuni wa Israel imeidhinisha muswada wa kuanzisha utoaji wa adhabu ya kifo kwa Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala huo, na kufungua njia…
Trump asema siku za Rais Maduro wa Venezuela kuweko madarakani zinakaribia ukingoni
Katika kile kinachotafsiriwa kama harakati ya kibeberu na ya kuingilia masuala ya ndani ya mataifa mengine, Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kuwa siku za Rais Nicolas Maduro wa Venezuela…
Mahakama ya ICC: Matukio ya El-Fasher yanaweza kuainishwa kama uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa tamko juu ya wasiwasi mkubwa uliozuka kufuatia ripoti mpya kutoka El-Fasher, jimboni Darfur Kaskazini, nchini Sudan, zikielezea kufanyika…