Sudan: Jamii ya kimataifa ichukue hatua kusitisha utumaji silaha kwa wanamgambo wa RSF
Sudan imekariri wito wake kwa jamii ya kimataifa ikitaka kufanyika juhudi za kuzuia mtiririko wa silaha kwa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) na kulitaja kundi hilo kuwa…
UN: Askari usalama wa Cameroon wauwa raia 48 katika maandamano ya kupinga uchaguzi wa rais
Duru za Umoja wa Mataifa zimeripoti kuwa askari usalama vya Cameroon wameuwa raia 48 katika maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena Rais Paul Biya, mtawala mzee zaidi duniani.
Mamdani achaguliwa Meya wa kwanza Mwislamu wa Jiji la New York katika ushindi wa kihistoria
Zohran Mamdani mbunge Muislamu amechaguliwa kuwa Meya wa 111 wa jiji la New York, mtu wa kwanza mwenye asili ya Asia Kusini na wa kwanza aliyezaliwa barani Afrika kuongoza jiji…
Hamas yapinga kutumwa jeshi la kigeni Gaza mbadala wa jeshi vamizi la Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza imesema kuwa haiwezakani kutumwa kikosi chakijeshicha kigeni katika eneo hilo ambacho kitahudumu kama mbadala wa jeshi vamizi la…
Bei ya mafuta Novemba kusalia vilevile
Kwa watumiaji wa dizeli wataendelea kutumia Sh2,704 kwa lita moja ya mafuta kama ilivyokuwa...
Bei ya petroli Dar yapanda dizeli ikisalia vilevile
Kwa watumiaji wa dizeli wataendelea kutumia Sh2,704 kwa lita moja ya mafuta kama ilivyokuwa...
ECOWAS yalaani madai ya Trump kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Wakristo Nigeria
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, imekanusha kama ya uongo na yenye hatari madai kwamba makundi yenye misimamo mikali katika eneo hilo yanawalenga watu wa dini fulani…
Wasichotaka mkijue; Sudan, nchi ya dhahabu iliyonaswa na wafanyanjama wa kimataifa
Sudan, ambayo kwa sasa imetumbukia katika kinamasi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe, ni nchi yenye nguvu na uwezo mwingi.
Vurugu zilivyotikisa sekta ya elimu
Ni mtikisiko kwenye sekta ya elimu, hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kufuatia vurugu zilizotokea...
Liverpool yavunja unyonge, Arsenal yaweka rekodi Ulaya
Liverpool imerudi katika kiwango chake baada ya kuichapa Real Madrid katika mchezo wa Ligi ya...
Shughuli za uchumi zilivyotikisika kwa siku sita
Vurugu zilizotokea kwenye baadhi ya maeneo nchini kuanzia Oktoba 29, 2025, zimeacha alama kubwa...
Siku za uchaguzi zilibaki historia kwa wakazi wa Mbeya na Dodoma
Mbeya/Dodoma. Itabaki historia. Ndivyo wanavyosema baadhi ya wananchi wa Jiji la Mbeya...
COP30 utakuwa mkutano wa kuambiana ukweli na kutoa suluhu: Rais wa Brazil
Wakati huu ripoti ya Umoja wa Mataifa ikionya kwamba uzalishaji wa kaboni duniani kote unaongezeka, rais wa Brazil Lula Inacio Da Silva ambaye nchi yake itakuwa mwenyeji wa mkutano wa…
Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wake wa fedha
Katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni mzozo wa kisiasa, rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, ametangaza kumfuta kazi Waziri wake wa fedha, ikiwa ni miezi miwili kupita tangu ateuliwe kwenye wadhifa…
Diaz awaangamiza mabingwa wa Ulaya PSG
Winga wa Bayern Munich Luis Diaz alifunga mabao mawili ya kipindi cha kwanza na kuisaidia timu yake kuwalaza mabingwa watetezi Paris Saint Germain 2-1.
Ukraine yaitaka Hungary kutoizuia kujiunga na EU
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametoa mwito kwa Rais Viktor Orban wa Hungary kuacha kupinga ombi la nchi yake kujiunga na Umoja wa Ulaya.
Watanzania wasambaza video za ukatili licha ya polisi kuonya
Watanzania jana wamesambaza video mitandaoni zilizoonesha ukatili uliofanyika wakati wa maandamano ya siku kadhaa nchini humo kufuatia uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.
Marekani iko katika majadiliano ya vita kusitishwa Sudan
Marekani inashirikiana na mataifa mengine kusitisha mapigano yanayoendelea nchini Sudan.
Mdemocrat Mamdani ashinda umeya wa New York
Mgombea wa chama cha Democratic Zohran Mamdani ameshinda kiti cha meya wa jiji la New York huko Marekani.
Athari za maandamano zilivyopaisha bei za bidhaa
Shughuli za kiuchumi kusimama, maduka kufungwa na wananchi kushindwa kununua mahitaji yao licha...
DRC: Rais Tshisekedi awasifia raia wa Congo kwa utulivu licha ya vita
Rais wa DRC, Felix Tshisekedi, amewasifu raia wa nchi yake kwa uvumilivu licha ya miongo karibu mitatu ya vita, watuj kuuawa na wengine kukosa makazi, kauli anayotoa wakati huu akijaribu…
Mtoto mmoja kati ya watano wanaishi katika maeneo ya mizozo duniani
Shirika la kimataifa la Save The Children, linasema mtoto mmoja kati ya watano duniani waliishi katika maeneo yenye mizozo mwaka uliopita. Imechapishwa: 05/11/2025 – 04:33 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Waislamu na Wakristo wa Nigeria wapinga vitisho vya Trump
Waislamu na Wakristo wa Nigeria wamesisitiza kuishi pamoja kwa amani na maelewano na kusema kuwa vitisho vya Rais wa Marekani dhidi ya nchi hiyo kuwa havikubaliki.
Yemen: Tumejiandaa kwa vita vikubwa na Israel
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, harakati za Muqawamaa zimejiandaa kwa ajili ya awamu ijayo ya mapambano na utawala wa wa Kizayuni wa Israel, kwani zinaamini kwamba…
Utafiti: Vita vya mauaji ya kimbari vya Israel vimegharimu zaidi ya miaka milioni 3 ya maisha ya mwanadamu huko Gaza
Utafiti wa hivi karibuni uliochapishwa katika jarida la Lancet umefichua kuwa zaidi ya miaka milioni tatu ya maisha ya binadamu yamepotea katika Ukanda wa Gaza tangu utawala ghasibu wa Israel…
Padri Mfaransa atuhumiwa kuwadhalilisha kingono wakimbizi watoto
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki la Rabat nchini Morocco jana aliliambia shirika la habari la AFP kuwa "ameshirikiana kikamilifu" na mamlaka za Morocco na nje ya nchi baada ya kasisi…
Mjumbe wa UN kuhusu elimu: Watoto milioni 14 nchini Sudan hawaendi shuleni
Nesmy Manigat, Mwakilishi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa kwa Ajili ya Elimu, amesema kwamba Sudan inakabiliwa na "mojawapo ya hali mbaya zaidi duniani," akieleza kuwa takriban watoto milioni 14 hawaendi…
Mapitio ya jinai za Magharibi; jinai za Marekani nchini Somalia
Marekani imefanya mashambulizi ya anga na operesheni za kijeshi nchini Somalia, na kusababisha vifo vingi vya raia, na akthari ya hatua hizo zimekuwa zikikosolewa na makundi ya kutetea haki za…
Jumatano, Novemba 5, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 14 Mfunguo Nane Rabiul Awwal 1447 Hijria mwafaka na 5 Novemba 2025 Milaadia.
05.11.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Watanzania jana wamesambaza video mitandaoni zilizoonesha ukatili uliofanyika wakati wa maandamano ya siku kadhaa nchini humo kufuatia uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita / Zohran Mamdani, kutoka…
05.11.2025
Zohran Mamdani wa chama cha Democratic ashinda kura ya Meya wa New York huko Marekani//Marekani yasema iko katika majadiliano ya vita kusitishwa Sudan//Na Watanzania wasambaza video za ukatili uliofanyika nchini…
Mauritania: Mohamed Ould Abdel Aziz kufungwa miaka 15 jela, Mahakama Kuu yathibitisha
Ikiwa kesi yake imesikilizwa tangu mwezi Novemba 2024 kwa kutumia vibaya mamlaka yake kwa kujikusanyia utajiri mkubwa, Mahakama Kuu ya Mauritania imetuplia mbali rufaa ya rais wa zamani Mohamed Ould…
Iran: Raia wa Ufaransa Cécile Kohler na Jacques Paris waachiliwa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kwenye mtandao wa kijamii wa X mnamo Novemba 4 kuachiliwa huru kwa raia wa Ufaransa Cécile Kohler na Jacques Paris. Rais ameelezea “furaha yake…
Gaza: Hamas yakabidhi mwili wa mateka mwingine kwa Israel
Israeli imetangaza kwamba vikosi vyake vya usalama vimepokea mwili wa mateka wa Gaza kutoka kwa hirika la Msalaba Mwekundu siku ya Jumanne jioni, na kurejeshwa kama sehemu ya makubaliano ya…
Brazili: Lula atoa wito wa uchunguzi baada ya ‘mauaji’ ya polisi Rio
Rais wa Brazil Lula ametangaza siku ya Jumanne, Novemba 4, kwamba operesheni ya polisi dhidi ya kundi la wahalifu huko Rio de Janeiro iliyowaua watu 121 wiki iliyopita ilikuwa “mauaji…
Rais wa Mexico akataa Marekani kuingilia kijeshi nchini
Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum amekataa uwezekano wa Marekani kuingilia kijeshi nchini Mexico siku ya Jumanne, Novemba 4, kufuatia ripoti za vyombo vya habari kwamba mwenzake wa Marekani, Donald Trump,…
Côte d’Ivoire: Emmanuel Macron ampongeza Alassane Ouattara kwa kuchaguliwa tena
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, siku ya Jumanne, Novemba 4, amempongeza mwenzake wa Côte d’Ivoire, Alassane Ouattara, kwa kuchaguliwa tena, na kutoa wito wa kuendelea kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya…
Chuo Kikuu cha Uingereza chasalimu amri kwa shinikizo la China na Kusitisha Utafiti kuhusu Wauyghur
Chuo Kikuu cha Sheffield Hallam, kaskazini mwa Uingereza, kinakabiliwa na kashfa ya kidiplomasia na China. Uchunguzi uliofanywa na BBC na Gazeti la The Guardian unaonyesha kwamba, chini ya shinikizo kutoka…
DRC: Kuelekea ada ya mpya ya abiria kwa kufadhili usalama wa uwanja wa ndege
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ada mpya ya usalama wa uwanja wa ndege itaanzishwa hivi karibuni. Kiasi: dola 30 kwa kila abiria. Itatumika kwa safari zote za ndege…
Tume ya AU yamteua mjumbe wake mpya maalum nchini Madagascar
Tume ya Umoja wa Afrika imemteua mjumbe wake mpya maalum nchini Jamhuri ya Madagaska. Naye ni Balozi wa Djibouti, Mohamed Idris Farah. Imechapishwa: 05/11/2025 – 00:02 Dakika 1 Wakati wa…
Tanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM) chatangaza nafasi za kuwania Uspika bara na visiwani
Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya kuapishwa wa Samia Suluhu Hassan kama rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia ushindi wake wa kiti hicho katika uchaguzi wa Oktoba…
Usafiri wa mwendokasi Dar wasitishwa kwa muda
Chalamila amewataka waliokuwa watumiaji wa usafiri huo kutafuta njia mbadala za usafiri wakati...
Serikali ya Tanzania yakabiliwa na shinikizo zaidi
Serikali ya Tanzania inakabiliwa na shinikizo linaloongezeka kufuatia mauaji yaliyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita, huku chama cha upinzani CHADEMA kikivishutumu vikosi vya usalama.
Maisha yarejea baada ya hekaheka ya siku sita
Dar/mikoani. Baada ya hekaheka za siku za tano zilizosababisha wananchi kukosa huduma muhimu...
Hemed Suleiman ‘Morocco’ kutoipeleka Tanzania AFCON Morocco
Nafasi ya kocha huyo kwa sasa inachukuliwa na mzawa Miguel Gamondi, raia wa Argentina ambaye alikuwa akiifundisha Singida Big Stars ya nchini Tanzania.
Hamas kurejesha mwili wa mateka mwingine Israel
Tawi la Kijeshi la Hamas limesema kuwa limeupata mwili wa mwanajeshi mmoja wa Israel katika Ukanda wa Gaza na linafanya mpango wa kuurejesha Israel.