Tetesi za Usajili Ulaya Jumamosi: Ronaldo kuuzwa kwa £43m
Ligi Kuu ya Saudi Arabia iko tayari kumuuza Cristiano Ronaldo kwa pauni milioni 43, Chelsea inawania saini ya Dusan Vlahovic ikipambana na Tottenham, huku Sergio Ramos akielekea Marseille.
Trump anakabiliwa na tuhuma za ubaguzi wa rangi baada ya kuchapisha video inayomuonyesha Obama na mkewe kama nyani
Rais wa Marekani, Donald Trump, alizua hasira katika duru za kisiasa baada ya kurusha mkanda wa video kwenye jukwaa lake la "Truth Social" akitangaza nadharia za njama za uchaguzi ikiwa…
Serikali imedhamiria kuimarisha huduma za tiba utalii ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha na kuimarisha sekta ya afya nchi…
Serikali imedhamiria kuimarisha huduma za tiba utalii ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha na kuimarisha sekta ya afya nchini kwa kushirikisha sekta binafsi. Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa…
ISIS yasema imehusika na shambulio lililoua makumi wa Waislamu dhidi ya msikiti, Islamabad
Kundi la kigaidi la Daesh limetangaza kuwa limehusika na shambulio lililolenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Khadijatul Kubra mjini Islamabad huko Pakistan na kuua makumi ya watu…
China yaombwa kusaidia ujenzi miundombinu maandalizi AFCON 2027
Tanzania, ikishirikiana na mataifa ya Kenya na Uganda, itakuwa mwenyeji mwenza wa mashindano...
Nyuma ya urembo wa Hinna kuna siri hizi
Ni wazi kuwa sanaa ya uchoraji ni moja ya utamaduni wa Kiafrika. Kwani yapo makabila kadhaa...
Jeshi la Iran: Kombora la Khorramshahr lenye masafa ya kilomita 2000 lina ‘nguvu ya uharibifu isiyo ya kawaida’
Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye…
Jeshi la Iran: Kombora la Khorramshahr lenye masafa ya kilomita 4000 lina ‘nguvu ya uharibifu isiyo ya kawaida’
Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye…
Ripoti: Ufaransa na Uingereza zimehusika katika mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi
Ufaransa na Uingereza zinaripotiwa kuhusika katika mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto maarufu wa Rais wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi, kwani alionekana kama mtu ambaye angeweza kuiunganisha tena…
Umoja wa Mataifa: Sudan inakabiliwa na janga kubwa la njaa
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, nchi ya Sudan inayoshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe inakabiliwa na njaa kali.
Zaidi ya wagonjwa 11,000 wa saratani Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na kifo
Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Al-Dameer amekosoa vikali utaratibu wa sasa wa kivuko cha Rafah, akikiita "tasa na hatari" na kuonya kwamba utaratibu wa sasa umesababisha ongezeko…
Jumamosi, 07 Februari, 2026
Leo ni Jumamosi 18 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 7 Februari 2026 Miladia.
Mradi wa Mauaji ya Kimbari wa Italia nchini Libya
Karne ya ishirini Miladia haikushuhudia tu matukio ya kushangaza ya binadamu, bali pia ilibeba baadhi ya kurasa zenye giza kuu katika historia ya mwanadamu. Katika moyo wa bara la Afrika,…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 7, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa…
Usingizi bora hauji kwa bahati nasibu, bali ni matokeo ya nidhamu na maandalizi sahihi ya mwili na akili
Usingizi bora hauji kwa bahati nasibu, bali ni matokeo ya nidhamu na maandalizi sahihi ya mwili na akili. Watu wengi hujaribu kulala wakiwa bado wamechochewa na mwanga wa simu, mawazo…
Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepanga kuongeza mikopo ya halmashauri kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu, ku…
Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepanga kuongeza mikopo ya halmashauri kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu, kutoka asilimia 10 hadi 15, utakapoanza mwaka ujao wa fedha 2026/27.…
Mahakama Kuu Zanzibar imezuia uharibifu wa vifaa vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025
Mahakama Kuu Zanzibar imezuia uharibifu wa vifaa vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Uamuzi huo unafuatia maombi ya zuio yaliyowasilishwa mahamani hapo na wagombea 17 wa Chama ACT Wazalendo.…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taif…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango. Aidha, Rais Samia amemteua Dkt Fred…
Aliyekuwa Msaidizi wa Karibu wa Rais, Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara
Aliyekuwa Msaidizi wa Karibu wa Rais, Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara. Waziiri ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi alikuwa msaidizi wa…
#CAFCL | Wabishi wa Sudan wamechapika ugenini na kufanya Kundi C kuwa gumu zaidi
#CAFCL | Wabishi wa Sudan wamechapika ugenini na kufanya Kundi C kuwa gumu zaidi. FT: MC Alger 2-1 Al Hilal. Msimamo baada ya mechi tano kwa wawili hao ni Hilal…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasilisha ujumbe maalum kwa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, …
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasilisha ujumbe maalum kwa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, jijini Geneva, Uswisi, ikiwa ni hatua ya Tanzania kuendeleza…
Rais Samia Suluhu Hassan amemuweka pembeni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatuma Mwassa na kumteua Kanali Yahaya Ramadhani Kido …
Rais Samia Suluhu Hassan amemuweka pembeni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatuma Mwassa na kumteua Kanali Yahaya Ramadhani Kido kushika nafasi hiyo. Uteuzi huo umetangazwa usiku huu kupitia taarifa ya…
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa AS FAR
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Yanga kikitoka hotelini kuelekea uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa AS FAR. Mechi ni kesho saa 4:00 kwa saa za Tanzania LIVE…
Bey amewatoroka, wanaanza kugeukana wao kwa wao
Bey amewatoroka, wanaanza kugeukana wao kwa wao #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Marekani yaiwekea Iran vikwazo vipya muda mfupi baada ya mazungumzo kukamilika nchini Oman
Tangu muhula wa kwanza wa Trump, Marekani imeweka vikwazo ili kuzilazimisha nchi nyingine zote kuacha kununua mafuta ya Iran.
Kuna wanaopendana halafu kuna Sara na Zein
Kuna wanaopendana halafu kuna Sara na Zein #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Samia abadili muundo wizara ya Profesa Kitila, ateua viongozi
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
Matetemeko ya ardhi ya Uturuki 2023 yalisababisha hasara ya dola bilioni 250: Erdogan
Rais wa Uturuki amesema ndani ya miaka mitatu miji iliyoathiriwa imejengwa upya na kuimarishwa.
Mradi wa ‘Mabasi Yaendayo Haraka’ mkoani Dar es Salaam umeendelea kuwa sehemu ya mataifa mbalimbali kujifunza namna bora ya uend…
Mradi wa 'Mabasi Yaendayo Haraka' mkoani Dar es Salaam umeendelea kuwa sehemu ya mataifa mbalimbali kujifunza namna bora ya uendeshaji wake. Hii leo viongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Melis hataki kuharibiwa ujana wake #AzamTWO
Melis hataki kuharibiwa ujana wake #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Kwa wasafiri wengi wanaopita Singida kwenda mikoa mbalimbali wamekuwa wakisalia na simulizi moja inayofanana na kuhamasisha ‘Uta…
Kwa wasafiri wengi wanaopita Singida kwenda mikoa mbalimbali wamekuwa wakisalia na simulizi moja inayofanana na kuhamasisha 'Utamu wa Kuku wa Singida'. Hivi umewahi kujiuliza ni kwa nini simulizi hiyo imeendelea…
Shirikisho la Soka la Morocco lakana taarifa za kujiuzulu kwa kocha
Taarifa zimesambaa katika mitandao ya kijamii ya kuwa kocha wa timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui amependekeza kujiuzulu.
Sekta ya Utalii inakuwa kwa kasi nchini ambapo kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Wizara ya Maliasili na Utalii…
Sekta ya Utalii inakuwa kwa kasi nchini ambapo kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Wizara ya Maliasili na Utalii inasema idadi ya Watalii wa kimataifa imefikia 2,097,823 kati…
Kobisi kaumbuka
Kobisi kaumbuka #KombolelaSeriea #KombolelaSeason2 (Feed generated with FetchRSS)
TBS yateketeza tani tatu za bidhaa hatarishi
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kaskazini, limeteketeza bidhaa mbalimbali zenye...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 06/2/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 06/2/2026
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI 06 2026
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI 06 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imewataka wadau na wafanyabiashara kutoka taasisi mbalimbali kuwe…
#HABARI: Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imewataka wadau na wafanyabiashara kutoka taasisi mbalimbali kuweka kipaumbele katika kukuza na kutangaza bidhaa zinazotengenezwa nchini, ili kuimarisha uchumi na kuinua viwanda…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mheshimiwa Ado Shaibu Ado amesema kwamba Tanzania inapaswa kurejesha utamaduni wa siasa saf…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mheshimiwa Ado Shaibu Ado amesema kwamba Tanzania inapaswa kurejesha utamaduni wa siasa safi ambapo wanasiasa wa itikadi tofauti wanaweza kupingana bila kuumizana na kukosoana bila…
Ukeketaji ukipungua, wadau wataka sheria kulinda wanawake watu wazima
Wakati matukio ya ukeketaji yakitajwa kupungua hadi kufikia asilimia nane, wadau wa haki za...
Maelfu ya Walibya wajitokeza kumzika mtoto wa Gaddafi
Maelfu ya Walibya walijitokeza kwa ajili ya mazishi ya mtoto wa Gaddafi ambaye alipigwa risasi na kuuawa wiki hii.
TAB yaomba msaada vifaa saidizi kwa watu wasioona
Jumuiya ya Watu Wasioona Tanzania (TAB) imewaomba wadau mbalimbali kuendelea kuwasaidia vifaa...
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa njombe kwa Tiketi ya CCM Rebecca Sanga Nsemwa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge Sports Club
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa njombe kwa Tiketi ya CCM Rebecca Sanga Nsemwa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge Sports Club. Rebeca amepata kura 158 dhidi ya mshindani wake Mh.Abbas…
ASKOFU Mkuu wa Global Concert Church (NGURUMO YA UPAKO), Nabii Mkuu na Mstahiki Meya wa Amani Duniani, Profesa GeorDavie K
ASKOFU Mkuu wa Global Concert Church (NGURUMO YA UPAKO), Nabii Mkuu na Mstahiki Meya wa Amani Duniani, Profesa GeorDavie K. Moses, amempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuelekea kutimia kwa…
Iran-Marekani: Mazungumzo yanatarajiwa kuendelea, kulingana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Iran na Marekani zimekubaliana “kuendelea na mazungumzo yao,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametangaza siku ya Ijumaa baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo yaliyofanyika Oman,…
Maelfu wamzika mtoto wa Gaddafi aliyeuawa kwa risasi
Maelfu ya watu wamejitokeza Ijumaa kwa ajili ya mazishi ya mtoto wa mtawala wa zamani wa Liibya, Muammar Gaddafi, katika mji ambao bado unaendelea kuonyesha utii kwa kiongozi huyo wa…
KUTOKA ANGOLA: Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi yake ya mwisho tayari kuikabili Petro Atletico kwenye mchezo wa Ligi ya Mabing…
KUTOKA ANGOLA: Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi yake ya mwisho tayari kuikabili Petro Atletico kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD #CAFCL…
Halmashauri ya Kahama yavunja mkataba wa mkandarasi
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imevunja mkataba kati yake na mkandarasi...
Chalamila aagiza hatua za haraka kukabili msongamano wa wanafunzi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amemuagiza Katibu Tawala na Ofisa Elimu wa mkoa...
Posta kuwatumia wataalamu wa alama kurahisisha mawasiliano
Shirika la Posta Tanzania limepanga kuanza kuwatumia wataalamu wa lugha ya alama kuwezesha...