08.09.20258 Septemba 2025 Tizama mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu akifikishwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu, huko Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Duru zinasema kulikuwa na ulinzi mkali wa vyombo vya dola. https://p.dw.com/p/50Axp Post navigation Mradi wa GERD kuchangia pakubwa kuimarika kwa uchumi ICC yawasilisha ushahidi dhidi ya Joseph Kony