Tizama makombora ya Israel yalivyoyaporomosha majengo kadhaa ndani ya Ukanda wa Gaza. Jeshi la nchi hiyo linasema majengo hayo yalikuwa yakitumiwa na kundi la Hamas kupanga njama dhidi ya Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *