“Ninawapongeza Klabu ya Simba na Wanasimba kwa tamasha zuri la Simba Day 2025“Ninawapongeza Klabu ya Simba na Wanasimba kwa tamasha zuri la Simba Day 2025

“Ninawapongeza Klabu ya Simba na Wanasimba kwa tamasha zuri la Simba Day 2025. Ninawatakia kila la kheri katika msimu ujao kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa” amesema Rais Dkt. Samia kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *