Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani ameongeza ukosoaji dhidi ya Israel baada ya shambulizi lake lililowalenga viongozi wa Hamas+++Katika kipindi cha miaka mitatu tu aliyokaa madarakani, kapteni Ibrahim Traoré wa Burkina Faso amejipatia taswira ya kishujaa mitandaoni.