Nchni DRC, takriban watu 86 wamefari katika ajali ya Boti, wakiwemo wanafunzi 65, huku 8 wakiokolewa, katika ajali hiyo iliyoripotiwa Jumatano usiku kwenye makutano ya Mto Nsolo na Mto Baringa, katika Wilaya ya Basankusu, jimboni Equateur.

Imechapishwa: Imehaririwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Boti hilo kwa jina la Bokenda lilikuwa likitokea katika eneo la Waka kuelekea katikati mwa wilaya la Basankusu, jimboni Equateur.

Saa nne usiku, boti hilo liliripotiwa kuzama kwenye eneo ambako ziwa Nsolo linakutana na ziwa kubwa la Baringa, katika Wilaya la Basankusu.

Watu Themanini na sita (86) walipoteza maisha katika ajali hiyo wakiwemo wanafunzi Sitini na Tatu (63) watu wanane pekee wakiokolewa kutoka kwenye ajali hiyo.

Kwa mujibu wa Shirika la raia eneo la Basankusu, ajali hiyo imetokea kutokana na upakiaji kupita kiasi na safari za usiku.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *