Israel yaua waandishi habari 24 wa Yemen ikijaribu kunyamazisha sauti ya hakiIsrael yaua waandishi habari 24 wa Yemen ikijaribu kunyamazisha sauti ya haki

[ad_1]

Katika kile kinachoonekana kama kuongezeka kwa kampeni ya kigaidi ya wazi na ya kunyamazisha sauti ya haki, utawala haramu wa Israel umetekeleza mojawapo ya mashambulio mabaya zaidi dhidi ya waandishi wa habari katika historia ya kisasa, kwa kuwalenga na kuwaua angalau waandishi 25 wa habari wa Yemen mjini Sana’a.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *