[ad_1]
Watu wasiopungua 101 wameaga dunia katika mafuriko yaliyolikumba jimbo la Punjab la Pakistan. Hayo ni kwa mujibu wa afisa mmoja wa Mamlaka ya Kudhibiti Maafa ya Mkoa (PDMA).
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Mafuriko yaliyoikumba Punjab ya Pakistan yaua watu wapatao 101, yaathiri watu milioni 4.6