DW Kiswahili14 Septemba 2025

Jepchirchir kutoka Kenya ameshinda mbio za marathon Japan+++++Droni za wanamgambo zimeshambulia maeneo muhimu ya kijeshi Sudan+++Rubio ziarani Israel kujadili shambulio lililofanya Qatar dhidi ya Hamas++++Wakimbizi wa kike wa Afghanistan wako hatarini chini ya utawala wa Taliban++++Waziri Mkuu mpya Nepal atoa wito kwa vijana kuwa watulivu na kushirikiana kuijenga upya nchi yao.

https://p.dw.com/p/50S00

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *