[ad_1]
Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amezitahadharisha nchi za eneo zikiwemo Saudi Arabia, Uturuki na Iraq kwamba ziko katika hatari ya kukabiliwa na uvamizi wa Israel iwapo nchi za kanda hii zitashindwa kuunda “muungano wa kijeshi” dhidi ya utawala wa Kizayuni.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Mkuu wa zamani IRGC azitahadharisha Saudia, Uturuki na Iraq, asema; mabomu ya Israel yanawasubiri