Serikali ya DRC, imeanza kutoa chanjo dhidi ya maambukizo mapya ya virusi vya Ebola, ambayo tayari yamesababisha vifo vya watu 28 tangu Agosti 20 mwaka huu.
DRC yaanza kuchoma chanjo dhidi ya maambukizo mapya ya Ebola
DRC yaanza kuchoma chanjo dhidi ya maambukizo mapya ya Ebola Serikali ya DRC, imeanza kutoa chanjo dhidi ya maambukizo mapya ya virusi vya Ebola, ambayo tayari yamesababisha vifo vya watu 28 tangu Agosti 20 mwaka huu.