03.09.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na uamuzi wa kuchagua amani au vita / Utafiti uliofanywa kwenye…
SK2 / S02S03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na uamuzi wa kuchagua amani au vita / Utafiti uliofanywa kwenye…
DIRA.BZ03.09.20253 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban wanajeshi wanne na wanamgambo 10 wameuawa kufuatia mapigano mapya yaliyozuka Sudan Kusini / Wilaya ya Monduli iliyopo mkoani Arusha kaskazini mwa…
Watu wasiopungua 14 wameuawa Jumanne jioni, Septemba 2, wakati mshambuliaji wa kujitoa mhanga alipojilipua katika mkutano wa kisiasa huko Balochistan, maafisa wawili kutoka mkoa wenye machafuko kusini magharibi mwa Pakistan…
Kwa mara ya kwanza, Rais wa China Xi Jinping amekutana hadharani na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un mjini Beijing, hatua ambayo wachambuzi…
02.09.20252 Septemba 2025 Mgombea mwenza wa Chama tawala nchini Tanzania, CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka mwanasiasa aliyeenguliwa kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia chama cha ACt-Wazalendo Luhaga Mpina, kurejea mara…
Kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa la Rwanda, bunge limeidhinisha sheria inayomruhusu mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya familia nyingine. Sheria hii inatoa mwanga mpya kwa familia ambazo…
Putin ameitoa kauli hiyo Jumanne wakati alipokutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico mjini Beijing huku akionyesha matumaini kuhusu suala la dhamana ya usalama kwa Ukraine: “Kuna…
Viongozi kadhaa wa Ulaya akiwemo pia rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky watakutana Alhamisi mjini Paris, huku wengine karibu 30 wakishiriki kwa njia ya mtandao katika mazungumzo ya kujadili suala la…
Maelfu ya Waindonesia waliingia barabarani katika maandamano ya kitaifa ya kupinga marupurupu makubwa kwa wabunge ambayo baadaye yaligeuka kuwa hasira kali ya umma dhidi ya polisi. Machafuko hayo yalimlazimu Rais…
Waziri wa Sheria Edasso Rodrigue Bayala amesema mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kushiriki katika vitendo vya ushoga au vitendo vinavyofanana atakabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka 2 hadi…
Akizungumza mjini Beijing wakati wa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema licha ya Urusi kutokupinga Ukraine kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya,…
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Tanzania zimeingia katika hatua muhimu huku wagombea 17 kutoka vyama tofauti wakisambaa katika mikoa yote ya nchi hiyo wakitangaza ilani na sera zao. Ikiwa…
Chanzo cha picha, Seenergy.ir Maelezo ya picha, Mohammad Sadr ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wakati wa enzi ya mageuzi. 1 Septemba 2025 Baada…
Chanzo cha picha, EPA Dakika 16 zilizopita Tetemeko baya la ardhi lililopiga mashariki mwa Afghanistan Jumapili jioni limeua mamia ya watu, kulingana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Taliban.…
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesafiri kuelekea Beijing kwa treni maalum kushiriki gwaride kubwa la kijeshi Jumatano, tukio litakalomweka jukwaa moja na Rais wa China Xi Jinping na…
Chanzo cha picha, EPA Maelezo kuhusu taarifa Author, Alexey Kalmykov Nafasi, BBC News Russian 1 Septemba 2025 Mwezi ni muda mrefu sana katika siasa za ulimwengu. Vladimir Putin yuko China…
Bunge la mpito la Burkina Faso, linaloongozwa na wanajeshi, limepitisha rasmi sheria mpya inayopiga marufuku ushoga, hatua inayoliweka taifa hilo la Afrika Magharibi kwenye orodha ya zaidi ya nusu ya…
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumapili ya Agosti 31 katika kijiji cha Tarasin katika milima ya Marrah baada ya siku kadhaa za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Darfur,…
Miongoni mwa waliouawa ni watu 10 katika mji wa Gaza ambapo jengo la makazi lililengwa kwa mashambulizi ya anga. Hayo yameelezwa na Mahmoud Bassal, msemaji wa shirika la kiraia katika…
Putin, ambaye kwa sasa yuko ziarani nchini China, anatarajiwa kuhudhuria gwaride la kijeshi hapo kesho na mwenyeji wake, Rais Xi Jinping , katika sherehe za kuadhimisha miaka 80 tangu vimalizike…
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 24 zilizopita Meli ya Titanic labda ndiyo meli maarufu zaidi katika historia, ambayo bado ina msukumo zaidi ya karne moja baada ya kuzama. Meli…
Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wamesema kati ya Januari 2024 na Mei 2025, mashirika ya kiraia ya Burundi yameorodhesha karibu matukio 200 ya unyanyasaji wa kijinsia, ikiwa ni pamoja…
Watu wengine zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililopiga katika miji kwenye jimbo la Kunar na mji wa Jalalabad. Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.0 katika kipimo cha…
Kundi la takriban Wafghanistani 200 walioko hatarini kutokana na vitisho vya Taliban limeandika barua kwa Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, wakiomba waruhusiwe kuhamia Ujerumani. Barua hiyo, ambayo shirika la habari…
Msemaji wa Shirika la Kuwatetea raia Ukanda wa Gaza Mahmud Bassal, amesema shambulio moja lililenga jengo linalotumiwa kama makazi ya watu na kuwauwa watu 10 kwenye jiji la Gaza. Shambulio…
Janga hilo lilitokea Jumapili baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa na kuathiri vibaya Kijiji cha Tarasin kilichoko eneo la Jebel Marra. Kundi la wanamgambo wa Sudan Liberation Movement…
Maofisa wawili wa juu katika jeshi la Congo ambao waliuawa katika shambulio la waasi wa M23, hapo jana walipewa heshima ya mazishi ya kitaifa jijini Kinshasa, wakati huu hali ya…
Idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililotikisa Afghanistan imeongezeka hadi 1,411, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Msalaba Mwekundu la Afghanistan (Afghan Red Crescent Society). Shirika…
Dakika 13 zilizopita Harold Dillard alikuwa na umri wa miaka 56 alipogunduliwa kuwa na saratani mbaya ya tumbo mnamo Novemba 2009. Ndani ya wiki chache, fundi huyo wa zamani “Bwana…
Zaidi ya kifo kimoja kati ya vifo 100 duniani husababishwa na kujitoa uhai, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Jumanne, likitoa wito wa kuchukuliwa hatua za dharura kukabiliana na ongezeko…
Chanzo cha picha, Carolyne Odour Maelezo ya picha, Elijah, mwenye umri wa miaka tisa, na Daniel, mwenye umri wa miaka 12, walitoweka baada ya kuondoka kwa basi mnamo 28 Juni…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Emiliano Martinez Saa 5 zilizopita Aston Villa hawakupokea ofa kutoka Manchester United kwa ajili ya kipa wa Argentina Emiliano Martinez licha ya…
Saa 4 zilizopita Huku kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025 zikianza kwa wagombea wa nafasi zote. Wagombea wa nafasi za urais wamejikita kuzinadi ahadi za kitaifa za…
Takriban wanajeshi 2,000 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mzozo wa kijeshi kati ya Urusi na Ukraine, mbunge wa Korea Kusini amesema Jumanne, Septemba 2, akinukuu takwimu za idara ya ujasusi…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Kufikia Jumatatu, Septemba 1, Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia ina jimbo jipya, Jimbo la Kaskazini-Mashariki, lililoundwa kutoka kwa maeneo yaliyojitenga ya Somaliland ambayo yalipendelea kujiunga na serikali ya Mogadishu. Somaliland…
Ubelgiji italitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prévot ametangaza leo Jumanne, Septemba 2, akiungana na nchi zingine…
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 33 zilizopita Ndege aina ya Boeing B-29 ilikuwa mshambuliaji mahiri zaidi wa Vita vya Pili vya Dunia, na ilikuwa ghali zaidi kuiunda kuliko mabomu…
Nchini DRC, hatima ya kisheria ya waziri wa azamani wa sheria wa DRC Constant Mutamba itajulikana Jumanne, Septemba 2. Waziri huyo wa zamani wa Sheria, ambaye alilazimika kujiuzulu mwezi Juni,…
“Matendo ya wapenzi wa jinsi moja” sasa yamepigwa marufuku na kuharamishwa nchini Burkina Faso. Sheria inayoruhusu vifungo vya hadi miaka mitano jela imepitishwa siku ya Jumatatu, Septemba 1, na Bunge…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Jaji wa ngazi ya juu zaidi wa Ghana, Gertrude Araba Esaaba Torkornoo, ameachishwa kazi Jumatatu, Septemba 1 na Rais wa Jamhuri. Kufukuzwa kazi kwa Jaji Mkuu, jambo ambalo halijawahi kutokea…
Zaidi ya miezi sita kabla ya uchaguzi wa rais nchini Congo-Brazzaville, mchakato wa mapitio ya orodha ya wapiga kura umeanza siku ya Jumatatu, Septemba 1. Utaendelea kwa miezi miwili. Imechapishwa:…
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Dakika 29 zilizopita Vilabu vya Ligi Kuu England vimetumia fedha nyingi kuliko wakati wowote ule kwenye dirisha moja la usajili, baada ya matumizi…
Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Mauaji ya Kimbari, chombo kinachoongoza katika suala hili na wataalam wake wakuu, wamepitisha azimio siku ya Jumatatu, Septemba 1, na kuthibitisha kwamba hatua za…
Mchakato wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umekwama. Wakati wajumbe bado wako Doha kwa karibu wiki mbili, lakini kwenye uwaja wa vita, mkwamo unasalia kati ya mapigano…
Shirika la Ushirikiano la Shanghai linafanyika huku kukiwa na migogoro mingi inayoathiri wanachama wake moja kwa moja: makabiliano ya kibiashara ya Marekani na China na India, vita vya Ukraine, na…
Chanzo cha picha, Reuters Maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 1,000 katika milima ya Marra magharibi mwa Sudan, kulingana na kundi la waasi la Sudan Liberation Movement/Army. Mvua…
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa, juma hili walieleza wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi dhidi ya wapinzani…