Zaidi ya wakimbizi 300 wa Rwanda wahamishwa DRC na kurejeshwa kwao
Rwanda imetangaza kuwa, jana Jumatano ilipokea wakimbizi 314 raia wa nchi hiyo waliorejeshwa Rwanda kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Rwanda imetangaza kuwa, jana Jumatano ilipokea wakimbizi 314 raia wa nchi hiyo waliorejeshwa Rwanda kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Takriban raia 15 wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa katika shambulio la droni na ndege zisizo na rubani linalodaiwa kufanywa na RSF kwenye soko moja ndani ya mji wa El Fasher…
"Magari ya zamani ya kijeshi yaligeuzwa kuwa mabomu makubwa na kuwekwa katikati mwa vitongoji vya makazi na kulipuliwa kwa mbali yakibomoa majengo yote, na kuharibu chochote ambacho kingekuwa karibu kwa…
Watu 11 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza huku jeshi la Israel likiendeleza mashambulizi yake ya ardhini katikati ya mji wa Gaza City.
Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa sababu mbalimbali kwa nini mazungumzo na Marekani hayana natija.
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea kwa siku yake ya nne. Miongoni mwa watakaohutubia mkutano huo ni Rais wa Palestina Mahmud Abbas na mawaziri wakuu wa mataifa…
Rais mteule wa taifa hilo la kusini mwa Afrika ni mwanasiasa wa muda mrefu ambaye safari yake ya kisiasa imekumbwa na utata.
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, amepatikana na hatia ya kupanga njama kuhusu sakata la kufadhiliwa na serikali ya Libya, wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2007.…
Wakati mfumuko wa bei ukipungua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), hali ambayo inaweza kuashiria kuboreka kwa hali ya uchumi, mamlaka zina wasiwasi kuhusu ukubwa wa mishahara ya serikali.…
Ufaransa iko tayari kuunda ndege ya kivita ya siku za usoni ikiwa peke yake ikiwa mazungumzo na Berlin na Madrid yatashindwa kuhusu mradi wa baadaye wa ndege ulioandaliwa kwa pamoja,…
Vita vya Ukraine, vilivyoanza mwishoni mwa mwezi Februari 2022, vimeleta mabadiliko makubwa ya kijiografia na kisiasa ulimwenguni.
Kwa mara ya kwanza, Wizara ya Usalama ya Iran imeonyesha hadharani picha na taswira nyeti za ndani ya kinu cha nyuklia cha Dimona cha utawala wa kizayuni wa Israel.
Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi wa 22 wakiwemo wawili ambao hali zao…
Siku mbili baada ya ndege zisizo na rubani kuonekana juu ya anga ya uwanja wa ndege wa Copenhagen, ndege hizo zimeonekana usiku wa umatano kuamkia Alhamisi kwenye viwanja vinne vya…
Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York siku ya Jumatano.
Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York siku ya Jumatano.
Tovuti ya habari ya Politico imeripoti kuwa, katika mkutano wa faragha aliofanya Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wa nchi kadhaa za Kiarabu na Kiislamu, rais huyo wa Marekani…
Tume ya Uchaguzi ya Malawi imemtangaza aliyekuwa rais wa nchi hiyo Peter Mutharika wa chama cha Democratic Progressive Party (DPP) mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Septemba 16.
Miaka 20 iliyopita, alikuwa katika jela ya Marekani nchini Iraq kwa ajili ya uanachama wake katika kundi la Islamic State. Siku ya Jumatano, Septemba 24, almezungumza katika Umoja wa Mataifa…
Mikutano ya hadhara imepangwa katika miji mikubwa ya Madagascar leo Alhamisi hii, Septemba 25, kupinga kukatwa kwa umeme na maji, hali ambayo imekuwa mbaya zaidi katika miaka ya hivi karibuni,…
Mpango mpya wa Marekani wa kumaliza vita huko Gaza uko mezani. Marekani imewasilisha mapendekezo yake kwa nchi za eneo hilo kando ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New…
Nchini Cameroon, siku tatu kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, serikali imeonya wanasiasa, hasa wagombea katika uchaguzi huu, siku ya Jumatano, Septemba 24, dhidi…
Nchini Senegal, mashirika kumi na tano yanayotetea haki za wanawake yanamtaka Rais Bassirou Diomaye Faye kutekeleza maneno kwa vitendo, baada ya kutangaza kujikita kwa usawa wa kijinsia na kutetea haki…
Trump aliwaambia viongozi wa Kiarabu kuwa hatua inayofuata ni kuujadili mpango huo na Netanyahu katika Ikulu ya White House siku ya Jumatatu ili kupata ridhaa yake, kwa mujibu wa chanzo…
Nchini Uganda, sasa inajulikana Yoweri Museveni atapambana na nani katika uchaguzi wa urais wa mwezi Januari 2026. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Septemba 24, Tume ya Uchaguzi imetangaza kwamba…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya anga ya “kikatili” yaliyofanywa na Marekani na Israel mwezi Juni katika ardhi ya Iran.
Leo ni Alkhamisi mwezi Pili Mfunguo Saba Rabiu Thani inayosadifiana na tarehe 25 Septemba 2025 Milaadia.
Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa Russia haina "mbadala" isipokuwa kuendelea kupigana vita, huku ikijibu mapigo kwa mabadiliko ya ghafla yaliyoonyeshwa dhidi ya nchi hiyo na Rais wa Marekani Donald Trump…
Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano…
Mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Syria Tom Barrack amedai kuwa utawala wa kizayuni wa Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama.
Kobbie Mainoo anatazamia kuondoka Old Trafford, na Aston Villa wanalenga kumsajili Jadon Sancho kwa kudumu.
Baraza la Muungano wa Ulaya EU limeidhinisha mapendekezo rasmi kwa nchi wanachama juu ya jinsi ya kumaliza ulinzi wa muda ambao Umoja wa Ulaya unautoa kwa Waukraine kwa sababu ya…
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubali kuanza kutekeleza hatua za kiusalama chini ya makubaliano yaliyoidhinishwa na Marekani mwezi ujao, vyanzo vitatu vinavyofahamu suala hilo vimeliambia shirika la habari…
Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, amehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusema kwamba nchi yake haina lengo la kuunda silaha za nyuklia.
Watu 20 wamejeruhiwa, wawili wako katika hali mbaya kutokana na shambulio la droni katika mji wa Eilat kusini mwa Israel.Hapo baadae waasi wa Kihouthi walidai kuhusika na shambulio hilo.
Urusi imeapa kuendeleza mashambulizi yake ya kijeshi nchini Ukraine na kupuuzilia mbali madai ya Rais Donald Trump kwamba jeshi la Kiev linaweza kuyarejesha tena maeneo yanayoshikiliwa na vikosi vya Moscow.
Nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubaliana kuanza utekelezaji wa hatua za kiusalama mwezi ujao chini ya makubaliano yaliyoratibiwa na Marekani.
China imetangaza kwa mara ya kwanza malengo ya kupunguza gesi zinazochochea ongezeko la joto duniani, ikiwa ni hatua muhimu kutoka taifa linaloongoza kwa uchafuzi wa mazingira duniani.
Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa kulikuwa na "hujuma mara tatu" dhidi yake wakati alipokwenda makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York.
Hata katika hali ambapo serikali tawala hazijashindwa katika uchaguzi,sifa na udhibiti wao wa kisiasa umesuasua kwa kiwango kikubwa.
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ametangaza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia huku zikiwa zimebaki siku chache kabla…
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea kwa siku yake ya nne leo+++Tume ya uchaguzi nchini Uganda imewateua wagombea 8 kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mapema mwaka…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ametangaza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia /…
Muhtasari: Rais wa Iran asema nchi yake haina lengo la kuunda silaha za nyuklia wakati akihutubia mkutano wa Umoja wa Mataifa. -Shambulio la droni lawajeruhi watu 20 katika mji wa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameuhutubia mkutano huo akizungumzia vinavyoendelea nchini mwake, ambapo ameonya kwamba Urusi inapanga kuvieneza vita kote barani Ulaya na kuutaka Umoja wa Mataifa kuingilia kati.
Mzozo huo umeendelea kuchukua sura mpya ambapo Ikulu ya Urusi iliapa kuzidisha mashambulizi yake ya kijeshi nchini Ukraine na kuyatupilia mbali madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba nchi…
Mkutano ulioandaliwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya kukutana na viongozi kadhaa wa Kiarabu na Kiislamu ulilenga kutafuta namna ya kumaliza vita katika Ukanda wa Gaza.
Rais Chakwera alichukua utawala nchini Malawi katika uchaguzi wa 2020 wakati alipomshinda rais wa wakati huo Mutharika wa chama cha Democratic Progressive Party, DPP na ambaye anarudi tena katika kiti…