#HABARI: Dereva wa gari la kubebea na kuchanganya zege lenye Namba za Usajili Z 994 NS la Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Iris, Nassor Fatawi Idd amefariki dunia na konda wake kujeruhiwa baada ya gari lao kupinduka mita 15 baada ya kuvuuka daraja la Chamanangwe lilipo Wilaya Wete.

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *