Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema endapo atachaguliwa, atahakikisha wananchi wanapewa fursa za kujikwamua na kuboresha hali ya maisha yao.
Kauli hii alitoa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Gamba, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi