Katika kampeni za kunadi ilani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), wananchi wa Mkoa wa Pwani wameahidiwa kufaidika na mageuzi ya kisera yatakayochochea ukuaji wa uchumi kupitia viwanda na huduma za kijamii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *