Mgombea Urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elius amesema atahakikisha uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Iringa unakua kupitia ujenzi wa viwanda vya mazao ya misitu na maboresho ya sekta nyingine za uzalishaji ambazo hazina kipaumbele sasa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *