Jamii inadaiwa kuwa na uelewa mdogo wa ugonjwa wa afya ya akili hivyo kusababisha watu wengi kushindwa kutambua tatizo halisi.
Katika kuliangalia hilo, Upendo Michael amefanya mahojiano maalum na mmoja wa waliowahi kupata changamoto hiyo na kutibiwa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi