Wafanyakazi wa umma na sekta binafsi wameahidiwa nyongeza ya mishahara na huduma nyingine iwapo Chama Cha Wananchi (CUF) kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu Oktoba 29.

Nyongeza hiyo imeahidiwa na mgombea urais wa chama hicho, Gombo Samandito Gombo akihutubia mkutano wa kampeni mkoani Mtwara.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *