#HABARI: Mapya yaibuka baada ya mke wa aliyekuwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama Cha Wananchi (CUF) Siha kudai kuwa hakuwa anafahamu kwamba mumewe alikuwa mgombea wa kiti hicho na kusikia tu kwa watu wakiwa wanaongea.
Mke wa Marehemu huyo amesema Mumewe David Ntuyehabi, hakuwahi kumshirikisha chochote juu ya nia yake ya kugombea Ubunge wilayani Siha, huku akidai mumewe ameacha watoto wa wili.
Zaidi kwenye Youtube #ITVTANZANIA
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.