Mgombea urais Othman Masoud Othman wa ACT Wazalendo ameahidi kuimarisha utumishi wa umma endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Garagara Unguja.
Ali Issa ana taarifa zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi