Jeshi la polisi mkoani Iringa limewaonya madereva wanaopata leseni kwa ‘njia za panya’ ikiwemo kutoa rushwa jambo ambalo linatajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani zisizo za lazima.
Muhammad Nyaulingo ana taarifa zaidi.