Mgombea Urais wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuliongezea ufanisi bunge kupitia ushirikiano na watafiti watakaoshirikiana na wabunge kutafuta majibu ya hoja zinazohusu maendeleo ya wananchi.
Emmanuel Kalemba ana taarifa zaidi kutoka mkoani Tabora.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi