Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ameelekea ziarani Israel+++Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar limewataka maafisa wake kufanya kazi kwa umakini ili kuendeleza historia nzuri iliyowekwa kwenye kumbukumbu ya mwaka 2010 ambapo kwa mara ya kwanza uchaguzi wake haujamwaga damu.