#HABARI: Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD Mohamed Mwinguku, amezitaka taasisi za kifedha kuharakisha malipo ya wakulima wa korosho na kutoa taarifa mapema badala ya kusubiri hadi mkulima alalamike ndipo hatua zichukuliwe.

Akizungumza katika kikao kazi kilichokutanisha taasisi za kifedha, Makatibu na Wenyeviti wa Vyama vya Msingi (AMCOS) kutoka Wilaya za Tandahimba na Newala, Mwinguku amesema ucheleweshaji wa malipo ni kikwazo kwa maendeleo ya wakulima na haupaswi kufumbiwa macho.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *