#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye kabla hawajaonywa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Bw. Malisa amesema hayo wakati akitoa tamko mahususi kwa wananchi, akiwa mbele ya waandishi wa habari la kuwataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupiga kura ili waweze kutimiza haki yao ya msingi na kutokuwa na hofu kwani Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vimeimarisha usalama.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania