Inaelezwa kuwa, kuchangia damu kunapunguza hatari ya mchangiaji kupata magonjwa ya moyo na pia kunapunguza wingi wa mafuta mwilini.

Msikilize Meneja Damu Salama Kanda ya Mashariki, Dkt. Pendaeli Sifueli akifafanua zaidi.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *