#HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapidunzi Dkt.Hussein Mwinyi, amelizindua Baraza jipya la Wawakilishi, huku akitoa msimamo wake kuwa yuko tayari kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.