#HABARI: Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemjibu Rais William Ruto, kufuatia madai ya kuwa viongozi wa upinzani wanapanga ‘kuligawa taifa’ na kudokeza kuwa lengo kuu la upinzani kwa sasa ni kuondoa utawala wa Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Kauli ya Rais Ruto kuhusu muungano wa upinzani umeibua ghadhabu miongoni mwa viongozi wa upinzani wakiongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.