Shughuli za Bunge la 13 zimeanza jijini Dodoma na tayari Mbunge wa Isimani, William Lukuvi amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mkutano wa Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika.
Tazama jina lake lilipotangazwa.
Imeandaliwa na @moseskwindi