#HABARI: Elipidius Balthazar kutoka Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera amehukumiwa jela maisha kwa kosa la kubaka (Rape) kinyume cha sheria.

Mshtakiwa alitenda kosa hilo Septemba 19, 2025 katika Kijiji cha Kabirizi wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera na kukamatwa na Jeshi la Polisi kisha kufikishwa Mahakamani Oktoba 01, 2025.

Hukumu imetolewa Novemba 10, 2025 mbele ya Mhe. Lilian Mwambeleko ambaye ni Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Muleba.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *