#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetangaza Operesheni Maalum ya kuwaondoa wasafirishaji na watoa huduma wote, katika mfumo pamoja na kuwatoza faini iwapo watabainika kutoa huduma kinyume na taratibu na kanuni zilizopo hasa katika kipindi hiki ambacho kinaelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *