Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Singida BS na AzamFC wanaanzia ugenini.
Novemba 22, Singida BS watakuwa ugenini nchini Algeria wakicheza na CR Belouizdad.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Novemba 23, AzamFC watakuwa nchini DR Congo katika dimba la Stade De Martyrs wakicheza na AS Maniema.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#CAFCC #Azamtvsports