“Kesho Alhamisi, kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge kazi itayofanywa kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu, uchaguzi na kiapo cha Naibu Spika, wabunge wote wanaombwa wawepo kuanza saa tatu kasoro dakika 10 kila mtu yupo kwenye kiti chake,”- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.