#HABARI: Baada ya jina la Waziri Mkuu mteule Dkt.Mwigulu Nchemba kupelekwa bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Johari Hamza, amebainisha majukumu ya Waziri Mkuu miongoni mwa hayo ni kuwa na madaraka ya juu ya udhibiti, usimamiaji na utekelezaji wa shughuli za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pia Waziri Mkuu atakuwa Kiongozi wa shughuli za Serikali bungeni.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *