#HABARI: Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, kumteua Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa zamani wa Fedha, Mhe. Dk. Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, wananchi wa jimbo la Iramba Magharibi pamoja na wakazi wa Manispaa ya Singida wamepokea kwa furaha na matumaini makubwa uteuzi huo.
Imani ya wananchi wa Iramba ni kwamba Dk. Mwigulu Nchemba amepata nafasi hiyo baada ya kuonesha uwezo mkubwa katika kusimamia sera za kifedha na uchumi wa nchi, huku wakitarajia uteuzi wake utaongeza ufanisi katika utekelezaji wa mipango ya Serikali.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.