#HABARI: Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Baran Sillo amekula kiapo baada ya kuwa mshindi kwa kura 371 za wabunge waliomchagua bungeni.
Tukio hilo limefanyika leo Novemba 13, 2025 Bungeni jijini Dodoma mara baada ya zoezi la kumthibitisha Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kukamilika.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.