Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imeanza ukarabati wa madarasa mawili, stoo na ofisi katika shule ya msingi Kagongo yaliyobomolewa na mvua iliyoambatana na upepo hivi karibuni, hali iliyosababisha wanafunzi 150 kusoma katika mazingira magumu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *