Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata kura zote 371 zilizopigwa.

✍Juliana James
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *