Tazama jinsi Waziri Mkuu mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu alipowasili katika makazi ya waziri mkuu yaliyopo Mlimwa jijini Dodoma.

Dkt. Nchemba ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan na uteuzi wake kuthibitishwa leo Novemba 13, 2025 na Bunge la Tanzania.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *