#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Jahmhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesimamisha hotuba yake kwa dakika kadhaa kuwaombea waliofariki kwenye vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.

Dkt. Samia amesimamisha hotuba hiyo leo Novemba 14, 2025 alipokuwa akilihutubia bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo pia amesema, ameunda tume kwa ajili kuchunguza kiini cha tatizo hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *