“Ninatoa pole kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao… Serikali imechukua hatua ya kuunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ili tujue kiini cha tatizo… taarifa hiyo itatuongoza kuelekea kwenye maelewano na amani.” – Rais Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge.
#AzamTVUpdates
✍Jairo Mtitu
Mhariri | John Mbalamwezi