Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza leo Jumanne, Novemba 18, kwamba atasafiri kwenda Uturuki Jumatano kujaribu “kufufua” mazungumzo ya amani na kuanzisha tena mazungumzo ya wafungwa na Urusi, shirika la habari la AFP limeripoti.

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Pia ametangaza kwamba atakwenda Uturuki ili kuendeleza “suluhisho ambazo tutapendekeza kwa washirika wetu” na kuanzisha upya mazungumzo ya wafungwa na Urusi.

“Kesho (Jumatano), nitafanya mikutano nchini Uturuki. Tunajiandaa kufufua mazungumzo na tumeunda suluhisho ambazo tutapendekeza kwa washirika wetu,” ametangaza kwenye mitandao ya kijamii.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *