Unajua kuwa kuondolewa kwa tozo 42 katika mnyororo wa zao la kahawa mwaka 2022 kumesababisha mapinduzi ya kilimo cha zao hilo hadi kuwafanya wakulima kushawishika kuongeza ukubwa wa mashamba yao?
Benson Eustace ameangazia kupaa kwa kilimo cha zao hilo mkoani Kagera.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi