Daktari Bingwa Mbobezi wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Zaitun Bokhary amesema kama mama mjamzito atakuwa na uzito uliopitiliza, kuumwa mara kwa mara na kuwa na maji mengi katika mfuko wa uzazi, zinaweza kuwa ni dalili zinazoashiria kuwa na watoto pacha walioungana.
Msikilize Zaidi hapa.
✍Nifa Omary
Mhariri | @Claud _jm
#AzamTVUpdates #UTV108 #MorningTrumpet